Wana JF Msaada kwenye tuta!

stanluva

Senior Member
Apr 7, 2009
153
32
Nitawezaje kuflash simu yangu aina ya Samsung SGH - D780, maana nna CD yake ndani kuna folder Flash asset!
Pia nitatumia program gani kufungua files za type hii: X32
 
kuna kanuni initwa RFC (Read Fucken Manual) . Hii itakusaidi kujua kifaa au vifaa vyako vinafanyaje kazi na kurekebisha.

Kaa hauna Manual nenda kwenye official website ya samsung itakuwepo. Hapo kwenye website ukienda sehemu ya suppport search ukaandika formating phone xyz utapata solution.

nadhani hata ndani ya hiyo CD kutakuwa na manual ya hiyo simu. na kwenye manual wanaelza jisni ya ku reset phone to factory

Otherwise kuformat simu yako jaribu hizi code za samsung ambazo nimegoogle

*2767*2878# or *#7370# or *#7073# or *#69694948404*#

Ikishindana ilete zero brain hatushindwi kitu as long as internet inafanya kazi
 
Kwenye hii ya kwanza ina respond lakini inachukua muda bila kufika mwisho, inachukua hata dakika 60 bila kuonyesha tofauti yeyote! Vip nitaweza kuwapaje?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom