Wana jf mbona munaniacha njia panda siwaelewi..!!!!!

Nothing4good

Senior Member
Feb 19, 2011
180
55
Wapendwa mbona munaniacha njia panda? Jana ni2ma thread inayosema natafuta mpenz wa mkataba.cha kushangaza wa2 wakawa wana complain kwamba nimeanza mapenz nikiwa na umri mdogo.wengine wakadriki kusema kwamba wanamiaka 26, 28, lakini hawajawah guswa/gusa. Kwani mapenz ni nini hasa? Au ndo ku do? Kwangu mimi mapenz ni zaid ya kufanya ngono.ina maana kwamba wale walio do2 ndio wanaoumia wakiachwa? Sasa mbona kwangu ilikua tofauti??? Mapenz nini hasa usije kuta mimi nimeelewa kivingine. Wanaoruhusia kudo si wale2 walio katka ndoa? Au? Nijuzeni plz!!
 
mimi jina lako linaniogopesha....

nothing 4 good?

u mean u are nothing 4 good?

wewe wataka mchumba au bwana wa mkataba?
na huyo wa mkataba hutaki ku sex nae sio?

hebu explain kwanza..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom