wana jf haya ndo mambo ya face book!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Habari za kizushi hizo, nini kimempoteza! mwili unaharibikaje within a minute!?

aahhhhhhhh nilisahau, au na we ushaopoa kimwana kupitia facebook niniiiiiii????????? maanake so kuponda huko.sikiliza webondo simaanishi umwache huyo mpenzio the msg is be carefulllllgot that?????????????
 
Heeeeeeeeeeeyyyyyy.............sio story hii, ni kweli imetokea Mwanza, binafsi niliisikia redio Wapo jmoc iliyopita, dhani ni story yakukute ndo utajua

afadhali na we super thinker ukazie swaumu naona mi sieleweki.watu mpaka yawakute ndo watajua kuwa ulimwengu huu sio wa kuuchezea kila siku mambo ya ajabu yanaibuka.
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom