wana jf haya ndo mambo ya face book!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hii habari na mimi nilipewa hivi hivi kama ilivyowasilishwa hapo juu kwamba ilimtokea huyo mdada baada ya kuombana u best huko facebook
 
Hii story nilishawahi kuisikia but sijui kama kuna ukweli wowote!?!hakuna mwenye evidence..

ni kweli hata mi niliipata kutoka kwa scholar wa hapohapo.tatizo ni kwamba binti mwenyewe ndo inasemekana katoweka laiti angekuwepo tungemuomba atutolee ushuhuda.
 
Story Ina mafunzo na mazingatio ndani yake,ingawa imekaa Kama movie ya kinigeria vile.thanks kwa kukumbusha.

asante kwa kuona mafundisho yaliyomo,wengine wanafikiri ni story za fisi na chui hawajui kama dunia imevaa sketi ya solo.
 
Hii story nilishawahi kuisikia but sijui kama kuna ukweli wowote!?!hakuna mwenye evidence..

its true but waswahili wanasema lisemwalo lipo kama halipo............hivyo ni vizuri kuwa makini kuliko kuchukulia kila kitu kama hadithi tu.
 
Hasa wadada wanachuo jihadharini sana na marafiki msiowajua plz

you realy are right@joshua this is serious and extremely dangerous others think its just a joke or a story but no its happening in our society and we have to be keen.
 
Unatufundisha nini kwenye hadithi yako.
Copy&paste.

ohhhhhhhhhpoor thing sitaki kuamini hujapata somo lolole.katika hili kila mtu anapata somo kwa namna yake hivyo si rahisi kwa mwengine kukwambia somo analopata kwani huenda likawa tofauti na somo unalopata wewe.
 
ni uwongo mtupu wajameni, hii story watu wanazusha tu tena ilianza kusikika hapa SAUT - MWANZA tangu mwanzoni mwa mwezi wa 4 kwamba huyo binti kachukuliwa na freemason, halafu kila kukicha watu wanaibuka na kueneza maneno mapya kabis.
Jina la binti wala kozi anayosoma haijulikani.
Nasema haya coz nipo eneo husika na ni mjuvi wa story za udaku.
 
ni uwongo mtupu wajameni, hii story watu wanazusha tu tena ilianza kusikika hapa SAUT - MWANZA tangu mwanzoni mwa mwezi wa 4 kwamba huyo binti kachukuliwa na freemason, halafu kila kukicha watu wanaibuka na kueneza maneno mapya kabis.
Jina la binti wala kozi anayosoma haijulikani.
Nasema haya coz nipo eneo husika na ni mjuvi wa story za udaku.

hivi inaweza kuwa ni uzushi eeeeeeeehhhhhhh???????kama ndo hivyo inawezekana huyo binti ni freemasons pia ndo maana jina no kozi yake havijulikani.
 
Evidence???????

i wish ningetoa evidence but najua hautakuwa so strong coz even i got from one of the sholars and i realy wanted to share thi with jf members.if only we met the girl that could be great.
 
Jaman hii story ni ya kweli,imezagaa sana hapa mjini mwanza.
 
jamani la mgambo,''binti wa sauti apotea katika mazingira ya kutatanisha,chanzo ni facebook.''kisa kilikuwa hivi binti alikuwa anachat na mkaka wa naijeria mpaka kufikia hatua ya kuwa wachumba,majuzi kati akamwomba sweet heart darlin aje tanzania kumvisit jamaa kakubali.wakafikia hoteli ya kifahari ,kuspend sana na shoping kwa wingi,jamaa akamtaka dada yetu waspend usiku pamoja,akakubaliwa,usiku umefika jamaa anavua nguo kaoza sehemu zote zilizofunikwa na nguo funza na mafunyefunye yanatoka binti kuzimia kuzinduka anakutana na mabilioni akajua umasikini kwaheri,kufika hosteli na kuwasimulia wenzake naye hapohapo akawa kama mpenziwe.apelekwe hospitali akapotea.haya jamani mafunzo hayo kazi ni kwetu wana jf kusuka au kunyoa tuwe makini na mitandao yetu.
weka picha
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom