Wana jf hapo kwenye hii picha mnasemaje?

Rais wetu ni mgonjwa, kama wapo wazee kama mzee ruxa wamekaa upright, bila ya shaka afya ina mgogoro.
 


hapo we unataka tusmeje???? wakati RAISI WAKO HUWA KALALA HATA KAMA YUPO MACHO??? WE HUONI WATU WANAVYO TAFUNA HII NCHI NA YEYE YUPO KATUMBUA MACHO TU? HIVI UNAFIKIRI KUNA SIKU ATAKUWA MACHO HUYU? NI BORA ALALE HIVYO HIVYO TUJUE KALALA NA KAFUMBA MACHO KULIKO LALA YAKE YA KUTUMBUA MACHO KUMBE KALALA, EMBU MWACHE ENDELEA NASHUGHULI ZAKO
 
Sasa mtu uko hoi kiasi hicho kwa nini huachii ngazi???? Kwa hali kama hiyo unatarajia kuna ufanisi hapo????
 
Kachukua siester kidogo tu anatafakari. nani kakuambia kwamba amiri jeshi mkuu anasinzia
 
Peace is meaningless if nothing is right. Do it and Do It Right or Not at All.
Swallowing His Own Words has never Killed the Politician!
 
Jamani anatafakari juu ya kumshughulikia r.a
Thubutu yako, RA hakamatiki na JK wala CCM!
Wananchi wenywewe ndio tumebaki kumshughulikia RA, utendaji wa JK wa sasa hivi ni sawa sawa na Diwani wa kata!
 
Kwenye sehemu kama hizi rais wetu inabidi akae back bencher ili asinzie kwa raha zake!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom