Wana JF Arusha

Tumekuwa na utaratibu wa wana JF tunaoishi Arusha kukutana kila mwezi na kesho tarehe 2, July 2011, kutakuwa na kikao cha wana JF waishio Arusha kuanzia saa 11:00 jioni pale Soweto Club, maeneo ya Soweto. Kiingilio hakuna. Wana JF wote wanakaribishwa. Tafadhali mfahamishe na mwenzio.

Next weeek ntawa Join niko njiani tokea kanda ya Ziwa naja hapo A town mara moja viji hiyo Jili jioni mtakuwepo hapo Soweto???? Ntajitambulisha kwa Jina langu kamili ila la haumu ndani sitokuambia ni nani
 
Kwani jina lako la huku JF si Jethro.....au una ID nyingine......ila karibu sana
 
Dah! Sikupata taarifa mapema, next meeting tutakuwa wote, ila tujulishane mapema ukumbi kama ni soweto au wapi. Mie naishi kota za soweto!
 
Jethro, vikao huwa vinafanyika kila mwezi mara moja. Kwahiyo kingine ni mwishoni mwa mwezi huu!
Katibu wa wanajf Arusha natumain anafuatilia hii thread na ata"record" majina ya waliokosa taarifa mapema, ili next tym awa"pm" mapema. Kwahiyo ni vizuri waliokuwa na dhamira ya kuja waendelee kujiorodhesha hapa au wam'PM' Mzee wa Rula!
 
Back
Top Bottom