Wana JF Arusha

Makao Makuu TI

Posho Bado hatujazifuta tutawalipa tu nyie watu wa Arachuga!! Muje Mujini bana

hahahaha na mtiti wa wanaapollo ni soo hauzimiki!!
Ila hommie waje bana! Mzee wa Rula Ujumbe ulifikisha?
Mwaka jana tulipoenda kuwatembelea JF wa Arachuga hili suala la posho lilikuwa bado halijaibuliwa mimi waje tu huku Dar tutawalipia posho zao mapema kabla sheria haijapitishwa, ila wazeiya Paka Jimmy, Preta, Lily Flower, Mzee wa Rula, Wiselady, Freetown na wengineo mkuje Dar Wing (Headquarters) bana bado tunaendelea kuwasubiria
 
Niambie hizo Per Diem utatoa vote ipi ili nipige kampeni ya kufa mtu!
 
Mimi ninapenda sana desturi ya wanajf kukutana. Hata hapa Dar tulikutana na mimi nikawepo. Nikakuta baadahi ya watu wanataja majina yao ya kwenye Jf. Mimi naitwa x ktk jf naitwa Y. Mimi nikajiuliza, kwanini basi msitumie majina yenu kamili? Wakaniambia, we just feel good kutumia majina ya JF. Any way it was not clear to me.
 
Kaufupi ilikuwa nzuri, watu wanafahamiana kwa majina ya jf. Nadhan next tym tutatoa na namba ya simu ya m1 wetu ili watakaokuja watupate kiurahisi maana jackbour hakutupata. Otherwise it was very nice.
 
Mimi ninapenda sana desturi ya wanajf kukutana. Hata hapa Dar tulikutana na mimi nikawepo. Nikakuta baadahi ya watu wanataja majina yao ya kwenye Jf. Mimi naitwa x ktk jf naitwa Y. Mimi nikajiuliza, kwanini basi msitumie majina yenu kamili? Wakaniambia, we just feel good kutumia majina ya JF. Any way it was not clear to me.

Majina ya jf yanapendeza zaidfi na ni rahisi kukumbuka.

Binafsi niliwahi kutembelea arusha na kukutana na wanajf, tukatambulisha kwa majina ya jf na majina yetu halisi lakini maajabu ni kwamba nawakumbuka wawili tu majina yao halisi, wengine wote nakumbuka majina yao ya jf.

Hatahivyo, niktumia majina ya jf inakuwa bomba sana.
 
Itabidi niandae kikao na wadau wa jukwaa langu huko tutatambulishana kwa jinsia tuu :dance:
 
Please nichukulieni na mimi nipo kiroho ingawaje kwa ajili ya mkutano huu. Nina majukumu la kimataifa kwa wiki mbili hivi hadi early next month kama kutakuwa na kikao tafadhali muni PM.

Niwapongeze kwa uvumilivu wa kuangaliana machoni baada ya kuchanana jamvini

Bravo Arusha
 
Karibu sana Mimi baba. Wasiliana na Mzee wa Rula kwa PM atakufahamisha siku ya kikao. Na wale wote wanaotaka kujoin na sisi kwenye kikao kijacho wafanye hivyohivyo!
 
wallah nafasi ya mweka hazina umeipata......mwenye nafasi hiyo anazengua sana siku hizi.......mambo yake vululuvululu....kikao kijacho umepita......BTW nimefurahi kukuona tena
Nashukuru kwa kunijali. Nashukuru kwa kuniamini kwenye jambo kubwa na nyeti kama hilo. Next wk end tuko pamoja
 
he he.....ipo njoo nikupeleke ukale kuku choma wa kienyeji

Naona mradi wako unaenda vema.....
preta.jpg
 
Back
Top Bottom