Wana JF Arusha

HTML:
saa ngapi,na tutafahamiana vipi?ndio mara yangu ya kwanza,mwalikeni na lema

Lema ni mwana JF humu hivyo inawezekana amesoma, ingawa ninahakika yuko bungeni kwa sasa.
Fika pale saa 11.00 jioni. kama uko serious nitakupa one of the number za members ukifika uta call someone atakupokea.
 
Ni kweli huwa tunakutana kila mwezi kujadili mambo mbali mbali ya kijamii. Kimsingi tumeunda chombo chetu (Mfuko wa WanaJF Arusha). Leo tunapitisha katiba hiyo ili ianze kufanya kazi na ikibidi tutaiweka jamvini ili kila mmoja aweze kuisoma na kutoa hamasisho la mikoa mingine kufanya kama tulivyofanya na zaidi ya hapo. Ni mambo mengi sana mazuri tunajadili, nawakaribisha member wote wapya na wale wakongwe wasikose kudhuria pale Soweto Garden muda wa saa kumi na moja kamili (17:00)
Utaratibu tulikuwa tunautumia ni kutumiana PM kwa wale known members lakini nichukue fursa hii kumpongeza Filipo kwa kuanzisha thread hii kwani itatoa fursa nzuri kwa wale new members kufahamu utaratibu wetu na hata wasio members.
Karibuni sana jamani.

Katibu JF Arusha.
 
saa ngapi,na tutafahamiana vipi?ndio mara yangu ya kwanza,mwalikeni na lema
Hatupendi kufanya mambo kama vile ni chama cha siasa fulani kwani si wana JF wote wa Arusha ni CDM! Vile vile G. Lema yupo busy sana saizi, jana kuna sehemu aliahidi kwenda lakini alishindwa kutokana na kubanwa na majukumu mengine! Hivyo tukipata muda kama yeye Lema akithibitisha ni mwana JF na ID ikafahamika basi tutakuwa tunajumuika naye kwanza kama mwanaJF halafu kofia yake ya ubunge itakuwa ni ya pili, lakini sifa ya msingi ni kuwa MWANAJF.
 
Nawasisitiza tu kama kunamember unamfahamu umjulishe. Asante katibu na member wengine kwa kujibu baadi ya maswali. Tutakutana jioni!
 
Kwakua kikao mnakutana kama wana-Jf, kikao kina baraka zozote kutoka kwa uongozi wa juu wa Jf?
invisible, painkiller, innovator, x-pastor are on the corner,
nlisikia kama wanalalamika BAN ina uhaba mkubwa wa wanachama now
 
shark naomba soma hiyo comment yako halafu rekebisha,sijaielewa vizuri
 
HTML:
Kwakua kikao mnakutana kama wana-Jf, kikao kina baraka zozote kutoka kwa uongozi wa juu wa Jf?
invisible, painkiller, innovator, x-pastor are on the corner,
nlisikia kama wanalalamika BAN ina uhaba mkubwa wa wanachama now

Na kama Wana JF kujumuika pamoja ni dhambi inayostahili BAN, basi naomba nibebe hiyo dhambi kwa niaba ya wana JF wote Arusha.
 
Jamani wana Arusha hongera sana wapendwa, ni hatua kubwa sana. Sasa mkipata muda kesho jaribuni basi kuzungumzia hata hili la Saccoss, tayari nina watu wengi wa arusha wamejiandikisha.

Natanguliza shukurani. Kama kawaida, ni PM namba ya simu, email address. All the best!

CD
 
Kwakua kikao mnakutana kama wana-Jf, kikao kina baraka zozote kutoka kwa uongozi wa juu wa Jf?
invisible, painkiller, innovator, x-pastor are on the corner,
nlisikia kama wanalalamika BAN ina uhaba mkubwa wa wanachama now
Fafanua hoja yako kidogo yaani sijakuelewa unakusudia nini? Kukutana siyo hakuitaji kiblai cha JF kwa sababu yanajadiliwa natuhusu sisi wenyewe wana JF wa Arusha, ikifika kuna kipengele kinahitaji msaada wao basi tutawaconsult. Ondoa mashaka.
 
Watu lazima wakikusanyika iwe ni kwa ajili ya chadema kweli humu ndani kuna mawazo mgando kwa baadhi ya watu wangejua huwa tunakutana na tuna mpango wa kufungua bonge la kampuni la kirafiki litakaloendeshwa kitaalamu kirafiki bila siasa ndani yake! Wangejiunga haraka sana halafu namtafuta jackbauer siyo kurusha madongo tu anajimbia
 
Back
Top Bottom