Wana JF Arusha

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Tumekuwa na utaratibu wa wana JF tunaoishi Arusha kukutana kila mwezi na kesho tarehe 2, July 2011, kutakuwa na kikao cha wana JF waishio Arusha kuanzia saa 11:00 jioni pale Soweto Club, maeneo ya Soweto. Kiingilio hakuna. Wana JF wote wanakaribishwa. Tafadhali mfahamishe na mwenzio.
 
Hongereni Saaana! Kazaneni wakati ni huu.
 
@graceirene
Tunajadiliana mambo mengi ya kijamii. Just try and you will reveal how best it is!
 
@graceirene Tunajadiliana mambo mengi ya kijamii. Just try and you will reveal how best it is!
wow! I never knw 'bout this.nlijua jf members are 'invisible men' kumbe mnaweza kufahamiana thats great! Kila laheri mumie,i wish i cld be there.
 
@graceirene Tunajadiliana mambo mengi ya kijamii. Just try and you will reveal how best it is!
wow! I never knw 'bout this.nlijua jf members are 'invisible men' kumbe mnaweza kufahamiana thats great! Kila laheri, i wish i cld be there.
 
Hakika hata mimi nitakuwepo ninahamu sana ya kuonana na Ma member wenzangu!
 
Tumekuwa na utaratibu wa wana JF tunaoishi Arusha kukutana kila mwezi na kesho tarehe 2, July 2011, kutakuwa na kikao cha wana JF waishio Arusha kuanzia saa 11:00 jioni pale Soweto Club, maeneo ya Soweto. Kiingilio hakuna. Wana JF wote wanakaribishwa. Tafadhali mfahamishe na mwenzio.

soweto club iko wapi filipo,usikute ni kwenye bar?nafikiri nitakuwepo
 
Back
Top Bottom