Wana JF Arusha Asanteni sana

Hivi siku hivi kuna ka ubaguzi eeh!? Nauliza tu kama Filipo au katibu ameanzisha ccj ndani ya JF?
 
Kumbeeee!

Umeamua kufanya ubaguzi eti???

Mbona mimi hukunieleza kuwa utakuwa mujini???
 
Hao walokupoke uliwa PM ndo maana wamekupokea hao tu. Ungetoa taarifa tungejipanga pale stand kukupokea kama mbunge vile. Any way karibu sana.
Mkuu kumbe upo Arusha basi mkuu tuwe tunawasiliana maana mambo ni bama bam JF Arusha.
 
Nawashukuruni kwa mapokezi mazuri mliyonipa dah hata siamini yaani nyie ni mfano wa kuigwa Mzee wa mpango shukurani BW Barikiwa PJ Sante sana Sahara voice thanx Mzee wa Upekuzi thanx na wengine wote shukrani sana

Bila shaka SALAAM ze2 nyingi tuliokuwa mbali na mji umeipata kupitia Katibu we2 ama M/kiti na hakika mara nyingine jisikie unakuja nyumbani. Karibu na siku nyingine!
 
Karibu tena Mpendwa! Na bila shaka salaam ze2 umezipata kupitia kwa uliowakuta kwani wengi 2likuwa nje ya mji kidogo. Welcome again!!
 
Bila shaka SALAAM ze2 nyingi tuliokuwa mbali na mji umeipata kupitia Katibu we2 ama M/kiti na hakika mara nyingine jisikie unakuja nyumbani. Karibu na siku nyingine!

Nikija siku nyingine nafikia nyumbani kwako (Sikujua kama upo Arusha aisee)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom