Wana jamvi mwanza niko njiani nakujaa mnipokee

duh, mwanza tumebarikiwa sana. wageni kila siku. . . mibaraka ya kufa mtu!
lakini machale yamenicheza, eti baada ya my huz C6 kuondoka ndo wageni wamezidi. . .
 
Last edited by a moderator:
sijataka weka thread coz mefika na kikohoz juu nami nimekuja wiki hii imean jana soo tupo pamoja tuu nipo saiz melala anaetaka ntoa out achangamkie tenda
 
sijataka weka thread coz mefika na kikohoz juu nami nimekuja wiki hii imean jana soo tupo pamoja tuu nipo saiz melala anaetaka ntoa out achangamkie tenda

wooh switilo karibu sana. jamani me miss u so april ngoja ntakucheck kesho make nami nlikuwa mashambani ndo nimeingia jioni hii. . . .
 
hahaaaaa nilijua madame utasema coz kipindi kile naenda dodoma ulisema nataka kumrithi yule anaekesha angani kama popo baba fulaniiiii niko kikazi zaidi wangu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom