Wana j.f hodiiiiiiiiiiiiii

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
71
Natamani niwe j.f senior expert lakini duh?

Sijui nianzie wapi na ugeni wangu
 
Senior Expert members nao walianza kama wewe, utashangaa utakavyopanda cheo haraka.
 
Popote tu pazuri wewe na mapenzi yako, lakini jukwaa la siasa kuna vichwa kama una roho ndogo utakimbia
 
mkubwa usijali na mi ndo kwanza kunakucha ndani ya jamii forums. tupeane moyo tu tutaweza.
 
Back
Top Bottom