Wana Iramba Magharibi, tujadili ya kwetu!

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
'mbunge na madiwani jimboni iramba magharibi wameshindwa kujadili mipango na mikakati mathubuti ya kulikwamua jimbo ketu katika tope la umaskini,wamekuwa madiwani posho na mbunge wa mipasho bungeni. Je tufamnyeje wadau ili kukomesha mwendelezo wa wabunge wanaotelekeza majimbo na madiwani wasio na vipaumbele vya maendeleo.changia .hapa.

Source.mimi mwenyewe nikitaza mijadala ya bunge.
diwani wa kata moja wapo katika kuzungumza naye alibainisha hayo.'mods uacheni uzi huu ili wadau wajadili.kwa kuwa jimbo hili lina hitaji mkombozi wa thati kama musa wa kwenye biblia.
 
Dawa ni kuanza kumkataa yule MZINZI Mwigulu Mchemba ni kiongozio Dhaifu na yupo chama DHAIFU fanyeni mabadiliko ya fikra kwa kuchagua watetezi wa wanyonge na maskini na chama makini.
 
mtaje ni diwani wa kata ipi ulijadili naye japo kwa kifupi, kama una namba zake za simu uniwekee kwenye inbox
 
Dawa ni kuanza kumkataa yule MZINZI Mwigulu Mchemba ni kiongozio Dhaifu na yupo chama DHAIFU fanyeni mabadiliko ya fikra kwa kuchagua watetezi wa wanyonge na maskini na chama makini.

habari zilizopo ni kuwa mwigulu humwaga hela jimboni kwake kama pablo escoba bavilio, eti anasomesha yatima wooooote wa iramba magharibi, nasubiri mjadala ukolee nami nijifunze.
 
Dawa ni kuanza kumkataa yule MZINZI Mwigulu Mchemba ni kiongozio Dhaifu na yupo chama DHAIFU fanyeni mabadiliko ya fikra kwa kuchagua watetezi wa wanyonge na maskini na chama makini.

Wivu tu huo. Mbunge wetu anafanya vizuri na napendekeza 2015 agombee urais kabisa na mgombea mwenza awe Lusinde. What a combination!
 
Dawa ni kuanza kumkataa yule MZINZI Mwigulu Mchemba ni kiongozio Dhaifu na yupo chama DHAIFU fanyeni mabadiliko ya fikra kwa kuchagua watetezi wa wanyonge na maskini na chama makini.

Badala ya kuhangaikia jimbo lake amegeuka kuwa msemaji wa BOT, mara msemaji wa serikali bungeni, mara msemaji wa CCM, etc.
 
nawashangaa sana wanairamba cjui mliangalia nn kumchagua nchemba,hana hoja kabisa nasikitika sana ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom