Elections 2010 Wana Igunga jitokezeni kwa wingi siku ya kupiga kura

ilikuwa masiku sasa imebaki siku moja kabla wakazi wa mji wa igunga hawajafanya maamuzi ya kumchagua mbunge wao ambapo mchuano mkali upo kati ya CUF na CCM lakini mwelekeo unaonyesha CUF wataibuka washindi kwa kuwa inakubalika sana katika tarafa mbili kati ya nne tarafa ya SIMBO kwao na mgombea na tarafa ya IGURUBI, tarafa ya CHOMA CCM inakubalika ikifuatiwa na CDM tarafa ya igunga mjini inakubalika CDM ikifuatiwa na CUF. Mkigoma ni mmoja niliye katika timu ya kampeni za CUF.
Source.: AL-HUDA
 
Hakuna siku mbaya kwenye maisha ya Joseph Kashidye kama siku ya Jumapili jioni!

Nayasema hapa ya maneno na siku ya Jumatatu tawakumbusha tena Joseph Kashidye, atakataa kusahini matokeo ya uchaguzi wa Igunga
 
Ndugu zangu piga ua galagaza Igunga inakwenda CDM,niwashauri CCM waondoke wenyewe maana wameanza hata kulalamikia CDM baada ya kuona imeleta makamanda wa kuzilinda kura zao na hivyo kufanya mazingira ya uchakachuaji kuwa magumu...kwa idadi ya wanachama na makamanda walioko Igunga kuibwa kura litakuwa ni ziozi gumu kupita kiasi
 
Keep it up! CDM ushindi upo hata walete mamluki wana igunga wameapa kura ni kwa CDM. Mukama anatumia magamba yaliyozeeka hata yakivuliwa bado ukurutu hautaisha wakina Mangula, Nkapa, Nsekwa, etc. Kwani mzee Six na EL hawako tayari kupata aibu
 
Hakuna siku mbaya kwenye maisha ya Joseph Kashidye kama siku ya Jumapili jioni!

Nayasema hapa ya maneno na siku ya Jumatatu tawakumbusha tena Joseph Kashidye, atakataa kusahini matokeo ya uchaguzi wa Igunga
Mtu yeyote mwenye akili hawezi kusaini matokeo yaliyochakachuliwa. Sasa kwasababu mmejiandaa kuiba ndo maana mnatapatapa kuwa hatasaini. Kweli hatasaini na shughuli yake mtaiona.
 
Hakuna siku mbaya kwenye maisha ya Joseph Kashidye kama siku ya Jumapili jioni!

Nayasema hapa ya maneno na siku ya Jumatatu tawakumbusha tena Joseph Kashidye, atakataa kusahini matokeo ya uchaguzi wa Igunga

naomba nikushauri omba Nape akusaidie pesa ufungue genge.Ni bora zaidi kuliko unavyojiaibisha hapa JF
 
naomba nikushauri omba Nape akusaidie pesa ufungue genge.Ni bora zaidi kuliko unavyojiaibisha hapa JF

Wewe na Nape Kwangu ni waganga njaa tu!
Wewe kila dakika unamtaja Nape kama unampenda mpikie Mtori takuletea na Mbege mkanywe wote sawa!
 
toa shanga zako hapa unandika title tofauti na unacho kiandika ndani ili kukepcha mindi za watu cku nyingine weka uwiano wa kichwa na habari yenyewe. eboh!
 
Hakuna siku mbaya kwenye maisha ya Joseph Kashidye kama siku ya Jumapili jioni!

Nayasema hapa ya maneno na siku ya Jumatatu tawakumbusha tena Joseph Kashidye, atakataa kusahini matokeo ya uchaguzi wa Igunga
Haya tutayajua leo jioni.
 
Back
Top Bottom