Wana Ifunda Tech. Sec.

Kaka Mkubwa

Senior Member
Oct 10, 2008
154
10
Natafuta watu waliosoma Ifunda Technical. Secondary school, tuongee mambo yetu kidogo, yani tukumbuke Lyandembela, Kaguo Vizibo, Per T, Kuuzoa, Serengeti, Mazengo hall, n.k na kadhalika
 
Kaka Mkubwa umemsahau Luwago,Bondia na Tall Mnaroma.
Kaka, namiss sana mambo ya mnadani K/moto tamu safi ila Ulanzi tu ndiyo sikuwahi onja.
Mkubwa Mnarani pia na Mazengo Hall zipo kenye memory yangu sana.Bila kusahau Msitu, The best and a coolest studying area in the World.
 
Ebwana weee! Duh! Si mchezo mwanagu, naamina hakuna camp tamu kama ile nji hii. Inamaana umemsahau Kiswele na ticha Shabani? D6 na rollcall ya jioni? Rugby je, Nyoya na makabati workshop. Lakini msitu ulukuwa kiboko hasa ule upande wa chuo Lol! Hata mm ulanzi sikuwahi ila mahindi ya kuchoma na viazi vya kuchemsha sn tu. Vipi mambo ya Bondo Nyuka(tope)?
 
Ongezea na KITOMALI,SEUTA,KIUNGA,MAKIRIGA,NGIRI,KATARA,CHEMBA,KUZIVUNA,KWA-MAMA,MNAROMA,BONDIA,SINZA,MKWAWA,MIRAMBO,CHABURUMA BILA KUSAHAU ROOM YANGU G6 SEUTA,KIPORI,KUSIMAMISHA MNAZI,KIBAONI,KUUZOA.
MOMA
Ifunda member 2002-2004
0772123362
 
Hakyanani tena ..........jamani........... KUUZOA, IYDT, Saka, Kaguo (People), Kocha, Mwakalindile (Brigedia), Blood Kinyakanyaka, Sinza, Kipoli, Kipute, kusimaisha minazi, msituni, vizibo, nyuka, bondo, ubinzi, Kitomali, Kipengere, Anand (RIP) wa namba, Tumwidike (a.k.a Mrs Brigedia), Mhapa (na kipikipiki chake), Olu...........etc.........etc............... Niliishi D2 from day one mpaka namaliza shule........Room mates ni Awadh, Sharp, Ntashimikilo Nyangata, Alen, Robaert Mwaipungu, ................... Nawakumbuka Medadi Thumuni (RURECU-rukwa retco), Noti Mgaya, Joyce (WASA), Wasandunga na Mafyosi, ........... Jamani....this was between 1988 na 1991................ Ifunda the glorious Technical School live long forever, with our moto skills and eficiency, we shall build our nation strong, and our school shall shine forever more.................oooooooohoooooooooooo GOD bless our schoool................. Yaani nimemkumbuka Songoro wa Music..................... Jamani mnakumbuka ww (WOOD WORK)................... Naikumbuka definition yake...............study of timber and iron mongery.................... BY THE WAY........NILIANZA FORM ONE B (KWA MCHILI), NA KUISHIA GROUP FOUR kwa Mbungi na Shabani......................
 
Cant forget disco la Iringa Girls:violin::violin: mchizi Membi Kileo, Mwesigwa kuumla uroda yule mama wa Baiology, Mwaipaja, Brigedia Mwakalindile, Vernier calliper (Alex the russian teacher), Sagu Kyando, Mota Kyando, Mdimu Sangiwa, Albert Ntemi, Mwasekaga, form one wangu-Ivo Mapunda (the former Taifa Stars goalkeeper). Kwakweli kazi za kwenda kulima shamba la shule zilikuwa kiboko:A S-danger:

Cant forget adhabu ya kukata CUBIC ya kuni ilikuwa si mchezo!

Mirambo for life - C6 1988-1992 Fitting and Turning.
 
Hivi mnakumbuka Disco ndani ya mazengo hall?,ila panakuaga hapatoshi siku ya paper mle ndani,
dah brother hako kanyimbo ndo kamenikumbusha mbali .....Ifunda the gloriosus technical school long forever .....pale katika with our moto skill and efficiency ...tulikua tunaigeuza kusema with our nyuka skill and efficiency .......
Dah inabid tuunde hata ka-umoja ketu kama inawezekana!!!!!
 
Hakyanani tena ..........jamani........... KUUZOA, IYDT, Saka, Kaguo (People), Kocha, Mwakalindile (Brigedia), Blood Kinyakanyaka, Sinza, Kipoli, Kipute, kusimaisha minazi, msituni, vizibo, nyuka, bondo, ubinzi, Kitomali, Kipengere, Anand (RIP) wa namba, Tumwidike (a.k.a Mrs Brigedia), Mhapa (na kipikipiki chake), Olu...........etc.........etc............... Niliishi D2 from day one mpaka namaliza shule........Room mates ni Awadh, Sharp, Ntashimikilo Nyangata, Alen, Robaert Mwaipungu, ................... Nawakumbuka Medadi Thumuni (RURECU-rukwa retco), Noti Mgaya, Joyce (WASA), Wasandunga na Mafyosi, ........... Jamani....this was between 1988 na 1991................ Ifunda the glorious Technical School live long forever, with our moto skills and eficiency, we shall build our nation strong, and our school shall shine forever more.................oooooooohoooooooooooo GOD bless our schoool................. Yaani nimemkumbuka Songoro wa Music..................... Jamani mnakumbuka ww (WOOD WORK)................... Naikumbuka definition yake...............study of timber and iron mongery.................... BY THE WAY........NILIANZA FORM ONE B (KWA MCHILI), NA KUISHIA GROUP FOUR kwa Mbungi na Shabani......................

Bro hapa umeniacha hoi, nimecheka kama kichaa. eti kipoli, ifunda raha jamani???
 
Gia box..Chozi,Fadha,Kimaro aka bwana msee,Rwegasira aka mjomba,Tumwidike,mwakalindile
lyandembela,masumbo,bandabeach,ihem,kibaoni
Nikitin,Bakanov,Kurushev,Mulder,righolt
Mkwawa ,milambo,Seuta,,chabruma,kwa shabu,dispensary...
ulasi na fingamba fya ku-finyungu be!!
 
Jamani hizi shule zimezeeka sana. Kuwe na utaratibu sisi tuliosoma huko turudi kuhamasisha kuzikarabati. Hata vitabu vya kusomea hakuna. Tusijisahau kuwa Tanzania ni yetu sote
 
kwakweli mmenikumbusha mambo mengi sn vijana wangu;
Jitu yupo wapi jamani, mirambo, chaburuma, sinza, kwa mama, vitomali, kande, bondo duuuuuuuu mnanikumbusha mbali sn jamani 2002-2004 yani hapa palikuwa hapatoshi kabisa watu wangu.
msitu kabla sijasahau mwendo wa kitabu kwa kwenda mbele, I love this country (Ifunda)
 
Mtu mzima per time na shamba lake la kahawa vp wazee?
Mlio kuwepo enzi za Six na Muvembe, mzee mzima Kocha, Bondia, Matumbi, Kitomari na vitomari vyake, kitu kulazwa, kudabo nyuka, mnamkumbuka ALL na Speak English? Miaka ya 2000 mnakumbuka Mwekundu? Enzi za msitu na dari, K6 kwa kukanga je?
Ilikuwa raha sana wazee, tuna miss vitu vingi.
 
Wakina man 2 man kitomali aka andazi, mitaa ya bandabichi ulanzi full.ifunda tech oyeee!
 
Back
Top Bottom