Wana-IFM tujuzane kwa haya machache.

kwa ifm maswala wanazngua cz m najua mwaka we2 weng walilipa 1m na 45 elfu hata km ulikuwa umepata mkp ds yr cjajua cz hyo n mwaka jana kingne jipangen cz elimu ya pale n ngumu ingawa wa2 wanakichukulia pouwa kuna kudisco first sem pia kuna kurudia mwaka ukifel core subject swala la kurudishiwa hela huwa n proces ndefu unaweza pewa hata kpnd upo mwaka wa 2 xo jipangen kusma
 
Inawezekana wamebadilisha lakini kipindi cha nyuma ilikuwa ni lazima ulipie hata kama unamkopo na IFM kila test wanatoa exams Id mpya kwa hiyo wale waliofikisha kiwango cha ada kwa huo muda ndiyo watakaolipa na hii ilifanyika hivi kwa sababu IFM kulikuwa na wanafunzi wengi sana wanaojilipia ada wao wasiotegemea mkopo.
ni kwel,me ndy ckumwelewa vzur,kaniambia ni 60%ya kiac kinachobak 4rm ada unayolipiwa mkopo,na in4 zinapatikana chuo kiac cha kulipia.
 
kuna mmja aliniinbox kwenye acnt yangu tfaut na hii akaniulza swala la kupokea ada nusu huwa wanapokea bt n proces ndefu mpaka uandke barua na ujibiwe ndo ulpe na uklpa ada nusu kwa ifm huwez kuxajiliwa cz system inakubl kuxajl wote waliomalza ada 2
 
kuna mmja aliniinbox kwenye acnt yangu tfaut na hii akaniulza swala la kupokea ada nusu huwa wanapokea bt n proces ndefu mpaka uandke barua na ujibiwe ndo ulpe na uklpa ada nusu kwa ifm huwez kuxajiliwa cz system inakubl kuxajl wote waliomalza ada 2

hujapata join instruction?
 
Bodi kupitia gazeti la nipashe wamesema wataanza mchakato wa kupeleka fedha za mikopo vyuoni wiki ajayo...labda tusikilizie tuone.
 
Chuka ada kwa mwaka,toa kiasi utakacholipiwa na bodi chukua 60% ya jibu ukalipe ada.Ada lazima iende sambamba na malipo ya kitambulisho, IFMSO.Hakuna sababu ya kulipa ada yote kwamba utarudishiwa na chuo.

ni vp utaweza jua bodi wana kulipia kias gani cha ada kama una mkopo wa ml 3.7525.plz naomba msaada wako
 
hivi wakuu ...field za ifm n mwka wa kwaza na wapili...swali langu ni kwamba. tutacalculate vp %..??? nina 3392500...
field tutapewa na cc pesa?
kwa anayejua plz..
 
Back
Top Bottom