Wana-IFM tujuzane kwa haya machache.

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
Wale mliochaguliwa IFM haswa wa Non computing courses na kupata mkopo naomba tujuzane kwa haya machache.
1.Jinsi ya kujua asilimia ngapi natakiwa kulipa chuoni ukizingatia nimepewa mkopo wa Tsh 3,952,500 course ni Insurance and risk management.

2.Direct cost ni Tsh ngapi nazotakiwa kulipa?

3.Ni hayo tu wakuu naomba ushirikiano wenu.
 
Direct cost ni 250000,
nadhani itakuwa 90% hiyo cuz mie wamenipa 4172500 accounting, na ndio niliyoona ni kubwa ktk zote,
so hapo ada itakuwa 10% ya 1,500,000.
 
Hongera kwa hilo mkuu..kwa hiyo mimi natakiwa kulipa asilimia 10 iliyobaki pamoja na direct cost tu.
 
itakuwa hivyo mkuu,
sema cha muhimu andaa hata kama 1.5 m ili mjini pasikusumbue,

Dah 1.5 M parefu sema i have arleady secured a room...issue iliyokuwa ikinitatiza ni kujua kiasi gani mimi natakiwa kulipa kwenye account ya chuo.
 
ongeren wana mmeramba mkopo pesa ndefu c wengne hakuna k2 ila hakuna noma pamoja apo ifm 2takutana
 
Asante dude kukosa mkopo isikukatishe tamaa za kutimiza ndoto zako komaa hivyohivyo pamoja sana..course gani unaenda?
 
nko bbf ila nina swal mwana vp kuhusu mkopo ina maana hakuna waliopata ata %0 jaman maana jna langu clion kokote mwana
 
Labda lipo kati ya wale 600 ambao form zao zina makosa au hata huko haupo?
 
Vijana ulizeni vizuri na msome join instructions zao,mi nilisoma pale ilikuwa hata kama unamkopo 100% ni lazima kabla ya kuwa admitted ulipie 45% ya ada yao kutokana na pesa za bodi kuchelewa miaka kadhaa baada ya kumaliza wakaweka ni lazima ulipe 70% ya ada ndiyo unapata admission kwa hiyo ulizeni na miaka yote hiyo watu tulikuwa tunalipa vinginevyo hupati registration namba...
 
co 70% ni 60%
emu tusaidie kidogo bro, hiyo % ya ada yote ama ile baki after mkopo? Na kama ya ada yote then mkwanja wangu watanirudishia after bodi wakiwa2mia?
 
Mkuu join nimeisoma vizuri wamesema atleast ulipe Tsh 1,050,000 ila hawajaelezea kuhusu kama unafadhiliwa na bodi mikopo ufanyaje...mkuu kama ni unafahamu nifafanulie hilo niko confused.
 
Ok!..
basi naona wamepunguza tena ila mara ya mwisho kupata taarifa zao ilikuwa 70%..
NI ya ada yote hiyo 1.5M kisha mkopo ukitoka mkisha saini ada wanawarudishia hizo pesa zenu lakini mara nyingi huwa mwisho wa semister au hata mwisho wa mwaka..
 
Mkuu join nimeisoma vizuri wamesema atleast ulipe Tsh 1,050,000 ila hawajaelezea kuhusu kama unafadhiliwa na bodi mikopo ufanyaje...mkuu kama ni unafahamu nifafanulie hilo niko confused.
Kwa IFM haijalishi unamkopo au hauna kila mwanafunzi lazima alipe hiyo pesa kisha itarudishwa bodi wakishapeleka ada chuoni!...
 
oya m navojua n kwamba wk ya orientation course yakupasa uwe ushalipa 1050000 ndo wanakusajil iyo tarehe 15 uanze masomo
 
nina wasiwasi kidogo na IFM....kwnye joining instruction yao cjaona wakiizungumzia HESLB... cha msingi tuende na 1050000 kuwasikilizia kwanza na pia kama 400000 ya chumba na bado hela ya meals tukiwa tunasubiria BOOM....
na pia bado cjaelewa kama hela tulizopewa kuna field ndan yke coz pale field ni lazma uifanye 2 years...
 
Mkuu field sisi ipo katika direct cost wametuandikia kwenye joining ni laki moja...au mimi nimeelewa vibaya!
 
hiyo laki moja unalipia kwaajiri ya supervisor kuna fedha yako ya kujikimu huko utakakokwenda kufanya field huwa bodi wanakupa kulingana na % yako ninadhani huwa inalingana na fedha ya kujikimu kwa kila siku ila hii huwa ya miezi miwili ya field work!...
 
It's really complicated hivi huwa wanatoa maelekezo kuhusiana na mkopo chuoni kabla ya kuwa registered?
 
Back
Top Bottom