Wana geography wote swali hili hapa msaada tafadhari

Ngoja nitafute notes za jogi, kitambo hii mambo, toka enzi zile naweka wei



Il Gambino
 
Wazee wa Maths wanaweza saidia hili. Sisi wengine tulikuwa tunameza tu.
hahhahha daaa kweli aiseee kwanini lakini unawasiwasi na robo mkuu
nadhani robo ni
24hrs/4 ambayo inakuwa saa 6
ukibadili hizo siku kwenda kwenye saa itakuwa ni saa 8766
 
Orbit haijanyooka...imepinda kidogo.Hiyo ndiyo sababu ya kupata robo.Hukumbuki mambo ya Umbra na Penambra?
 
Quarters The calendar year can be divided into 4 quarters, often abbreviated Q1, Q2, Q3 and Q4:
  • First quarter: from the beginning of January to the end of March
  • Second quarter: from the beginning of April to the end of June
  • Third quarter: from the beginning of July to the end of September
  • Fourth quarter: from the beginning of October to the end of December
Thats why after every 3 years we have 365.25 then on the forth year we have 366days

Thereafter dig deep via http://en.wikipedia.org/wiki/Julian_calendar
 
Dunia huzunguka jua kwa siku 365 na robo(365.25) kwa mwaka. je hiyo robo siku inapatikanaje?

kaka hakuna cha ajabu hapo ni siku zimetumika kama unit hapo lakini ingeweza kuwa siku 365 na masaa 6

also simply you can convert to hours 365*24=8760 + 6 = 8766

so usikremue robo siku

ULIKUWA KILAZA SANA INAONYESHA SHULENI KWENU
 
hahhahha daaa kweli aiseee kwanini lakini unawasiwasi na robo mkuu
nadhani robo ni
24hrs/4 ambayo inakuwa saa 6
ukibadili hizo siku kwenda kwenye saa itakuwa ni saa 8766

ukihesabu kwenye karenda hauipati hyo robo kwa nn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom