wana chit chat wa dar mbona mnakuwa hivo jamani...

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
mnanifanya nijisikie mpweke, nisiye na ndugu, mko wapi jamani, ina maana mpaka nitoke jijini sijamuona hata mmoja? jamani mnikaribishe makwenu jamani
 
mnanifanya nijisikie mpweke, nisiye na ndugu, mko wapi jamani, ina maana mpaka nitoke jijini sijamuona hata mmoja? jamani mnikaribishe makwenu jamani

umekuja kimya kimya mno! karibu sana mimi niko kwa mkoloni mida hii! ungesema uko wapi wadau wametapakaa kila kiwanja saa hizi wanakula bata kwa raha zao.
 
kesho naanza kuonana na mmoja baada ya mwingine KARIA
 
Last edited by a moderator:
Madame B hapo Masai vp swala,twiga wapo mbugani? Kama wapo nije nataka kusuza rungu kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Madame B hapo Masai vp swala,twiga wapo mbugani? Kama wapo nije nataka kusuza rungu kidogo.

Yani Mbuga imejaa wanyama tupu mpaka wamamwagika.
Yani Rungu litasuuzwa mpaka libabuke.
"Wewe tu na Mfuko wako",
watoto wa mjini wanakwambia.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja kupambazuke tuelekezane @C6!
Umekuja na CL?

CL alienda kwenye harusi....mh wanawake nyie.. na ujauzito wake tumbo hiloo lakini kangangania nikaamua nimruhusu, huku nimekuja kikazi zaidi ila weekend kama hivi ndo mpango mzima
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom