Wana chit-chat karibuni weekend tuifutili mbali wiki hii.

Mpaka sasa sielewi jana nilikuwa bar gani. Dah kadi ya mwaliko sina lakini wacha nije kichwa kichwa nikapunguze stress. Nikifukuzwa ndo ntakuwa nimesahau machungu ya wiki I took much time kwenye jukwaa la stress kumbe mko huku!

mkuu Mungi njoo tu mkuu,hapa hakuna cha kadi wala nini,njoo tuungane tusahau shida zetu japo kwa muda
 
Last edited by a moderator:
Baba v ! Habari za masiku ?
Mi najua hujanialika, nilikua napita njia tu, ila naulizia hiyo list ulioishusha hapo ndy ya vya p popular wa cc au ? Manaake sijaona "mfia parokia" au "ustazi" yeyote ktk list !
Nway kua na J'2 tulivu .

Mkuu wangu Judgement i'm very sorry for everything, nadhani ni stress ndo zilinifanya hadi nikapitiwa,pamoja sana mkuu,karibu tuimalizie j'pili
 
Last edited by a moderator:
Baba V nimekaa Makiriri bar toka Jmosi,
sijakuona, nimeacha bili na picha yako hapo kaunta,
ukipita tu unalo.
Wanajamvi ni dhahiri kuwa wiki hii tumeshuhudia mvurugano mkubwa sana hasa dar hii na kule zenji jambo ambalo limenifanya nitumie muda mwingi kule jukwaa la stress tukipeana za uso na wadau wengine, sasa leo asubuhi nimeanza rasmi wikend kwa ajili ya kuflash stress zote,siku nzima ya leo jumamosi na kesho jumapili nitapatikana mfululizo Makirikiri bar nataka kuifuta wiki hii katika hesabu zangu za mwaka.karibtni makirikiri thìs week end.
C.C
Kaizer,mtambuzi,Nazjaz,Arushaone,C6,Sweetlady,Mamdenyi,Bishanga,Ritz,Erickb52,Arabela,Pombekali,safari ni safari,Mzizimkavu,mkiva,Katavi,Zubedayo_Mchuzi,charminglady,Kongosho,gfsonwin,Asprin,cacico,Ruhazwe Jr,BADILITABIA,Masopakyindi,Gwangambo,Excutive sister,Lara 1,zomba,Mama wawili ,you are all welcome
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom