Wana-ccm tuanzishe na sisi m4c yetu kuitokomeza chadema"

Its too late brother, CCM will never be back like it used to be....the only alternative you can do is to be aside and wait to learn from CHADEMA on what it means by LEADING the state and not RULING....unategemea ccm itaamka leo....???? Hakuna kitu kama hicho, hizo ndoto...subirini kwanza muwe chama cha upinzani ili mjifunze namna ya kuongoza nchi na siyo Kutawala.....
 
Na sisi CUF tuige nini toka malumbano yenu? TLP nao yote ni upepo
 
Join Date : 26th April 2012
Posts : 38
Rep Power : 308
Likes Received 1
Likes Given 0

Pole sana. Kazi unayofanya wewe si wa kwanza kuifanya. Walikuwepo kina Mwita25, Faiza Foxy, Malaria Sugu, etc wameshindwa. Anyway Karibu sana JF.

bora umemwambia, afu umenikumbusha faiza fox: aisee mama alikuwa mbishi yule... hivi yuko wapi siku hizi. simuoni.
 
Umenikumbusha moja ya sababu kubwa iliyopelekea luddism kushindwa huko uingereza katika kipindi cha workers' movements......hawakumtambua adui yao na kudhani adui yao ni machinery technology.....hata wewe umeshindwa kumtambua adui wa CCM kuwa ni matatizo yanayosababishwa na utawala wao wa kipuuzi..unadhani adui ni chadema......mtu aliechoka hata uweke mgombea wa CCM na jiwe atachagua jiwe coz anaweza kuangulia matunda na kuua ndege!
Think as a great thinker not as sandbag!

hapo umenena mkuu na kazi ya ccm hawana jipya zaidi ya kucopy and paste kila kinachofanywa na chadema na wameflisika kimawazo
 
Habari wanaccm wenzangu!
Najua tuna kazi nzito ya kukitokomeza chama mufilisi CDM ambacho kinajifanya ni cha wananchi kumbe ni cha watu wachache wenye maslahi binafsi ya kuatafuna ruzuku na kusubiri wakichukua nchi wafisadi rasilimali zetu.
MY TAKE
Naomba wanaccm wenzangu kuanzia humu jf na viongozi wote wa ccm tuanzishe na sisi m4% yetu ya kuitokomeza CDM na iendeshwe na viongozi wetu kama jmakamba, mrisho gambo, shigela, fred lowasa kilango malecela, sitta, na dk. Benson bana ndo awe kiongzoi wa hii M4C.

Ya kazi gani. Kwani zile mlizozianzisha za 'MKURABITA', 'KILIMO KWANZA', 'ARI MPYA....', 'MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA' mmemaliza?
 
CCM hoiiii, no I mean oyee! Sasa mimi mwana ccm wa JKT niambie CDMA wametukosea nini hadi tufikirie kuwaangamiza? Infact naona wanatusaidia.
 
halafu hivi hamuoni aibu chama kama chenu chenye muda mwingi madarakani mnaishia kudandia mawazo na hoja za wengine kila uchao? katiba mpya mkadandia mkaishia kutojua muanzie wapi na kuishia wapi.

wahenga walishasema; you can copy ideas but not results.

it's just too late, you cant teach an old dog new tricks.
 
M4C mnataka ku-change nini?
Nilidhani sera ya kujivua gamba ililenga kuleta mabadiliko CCM
Unachosahau ni kwamba CCM imejipaka tope la uchafu, ufisadi na ulevi wa madaraka kiasi kwamba the only change you can master is for the worse
 
Pepe,hujashtukia tu kuwa hata Msafiri anampango wa kuiua ccm. jiulize kwanin hajabarik mawaziri waresign kurescue c2atn.
 
Umenikumbusha moja ya sababu kubwa iliyopelekea luddism kushindwa huko uingereza katika kipindi cha workers' movements......hawakumtambua adui yao na kudhani adui yao ni machinery technology.....hata wewe umeshindwa kumtambua adui wa CCM kuwa ni matatizo yanayosababishwa na utawala wao wa kipuuzi..unadhani adui ni chadema......mtu aliechoka hata uweke mgombea wa CCM na jiwe atachagua jiwe coz anaweza kuangulia matunda na kuua ndege!
Think as a great thinker not as sandbag!
Hongera mkuu, hapo umenena, huu ndio u-great thinker.
Lakini unawapa shule ya nini hawa majuha?
Tuwaache wafilie mbali, wametesa sana watanzania, hata Mungu anaharakisha kuwapokea!
 
Hii mada ipo kichokozi,sababu ushajua kama humu jamvini wengi wetu tumefunguka! sasa nahisi ulitaka uone respond zetu! ukweli unaujua,na namna unavyojenga hoja unanipa mashaka! hata hivyo uliowataja wamekusikia! ingawa najua wewe ni mwenzetu ila unazuga tu!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom