Wana-ccm tuanzishe na sisi m4c yetu kuitokomeza chadema"

Wana CCM wenzangu tuamke. Jambo la msingi ni kuwa tunahitaji Tanzania safi na wala sisi CCM. KWANI UFISADI WOTE HUU SISI WANA ccm HATUONI? TUACHECHE UTOTO TUJENGE NCHI NA WALA SI CHAMA.

mkuu umesema jambo jema sana! Kwani ni lazima sisi kama wanaccm halisi tusimame kwa pamoja tena kwa jambo la dharura ili tuweze kuikomboa nchi na kurudisha imani kwa jamii, kwani mtoto akijisaidia mkononi huwezi kuukata mkono na badala yake unatakiwa uuoshe so vivyo hivyo kwa ccm hatutakiwi kuiacha na kuhamia chama kingine kama chadema kawani hakina maadili wala future yetu.
 
Mimi ni mwanachama mwenzako wa CCM lakini kwa mwendo huo wa kutofautiana na chadema bila ya hoja na badala yake shutuma zisizokuwa na kichwa wala miguu tutazidi kukipoteza chama. Nani anayekula ruzuku zaidi ya CCM? Kila mwezi CCM inapata zaidi ya nusu ya fungu zima la ruzuku lililotengwa kwa ajili ya vyama vya siasa, lakini kwanini such resources do not translate into growth of the party in terms of recruitment and support? Ruzuku ina maana gani sasa kwa CCM kwani hatuoni kama inafanya kazi. Lakini ruzuku ya wenzetu Chadema ipo more effectively - does it mean small is beautiful? Kama tunataka kusonga mbele kama chama na kurudisha imani ya umma, hakuna njia iliyo bora zaidi ya kuambiana ukweli.

heshima kwako mkuu! Hata kama uyasemayo yna ukweli basi si vizuri kuyasemea public kama hivi kwani unazidi kuwaaminisha watu sumu mbaya, pia tunatakiwa tufanye juhudi kuzima sumu za lema na lissu kwani hawa vijana ni waongo sana na wamekuwa wakiwalisha vijana wetu sumu mbaya ya uchochezi wa vurugu na wakati ccm bado ni safi sema 2 baadhi ya watu wanaichafua kwa ufisadi mdogo mdogo but M4C yetu ya ccm ndo itakuwa mwanzo wa ccm safi na mpya.
 
Haa haaa, fanyeni hivo bwana ili na nyinyi muendelee kuwaibia watanzania tembo, twiga na nyati kupeleka kwa marafiki zenu ulaya na uarabuni. Kweli ccm ni janga hawana hata huruma!

heshima kwako mkuu! Acha kashfa za uongo kwani twiga waliibiwa na watendaji na sio ccm so inabidi uache utani kwani kumbuka kuwa"
" CCM TUNA MUNGU, MAHAKAMA,POLISI, USALAMA WA TAIFA. BUT NYIE CHADEMA MNA MUNGU PEKE YAKE SO INABIDI WANACDM MUWE MAKINI SANA NA UZUSHI WENU JUU YA CCM.
 
akili zenye asili ya mimba za bar hizi!

achaa matusi mkuu! Kwani kumbuka kuwa ccm tuna Mungu, polisi na mahakama so inabidi uchunge kauli zako ili usije uka- risk maisha yako ingali bado taifa linakuhitaji.
 
heshima kwako mkuu! Hata kama uyasemayo yna ukweli basi si vizuri kuyasemea public kama hivi kwani unazidi kuwaaminisha watu sumu mbaya, pia tunatakiwa tufanye juhudi kuzima sumu za lema na lissu kwani hawa vijana ni waongo sana na wamekuwa wakiwalisha vijana wetu sumu mbaya ya uchochezi wa vurugu na wakati ccm bado ni safi sema 2 baadhi ya watu wanaichafua kwa ufisadi mdogo mdogo but M4C yetu ya ccm ndo itakuwa mwanzo wa ccm safi na mpya.

We akili yako fupi kweli. Hivi mnajua hiyo M4C ni lazima ianzie kwa kusafisha kwanza Ikulu? Kama ya kuvuana magamba imeshindikana mtaweza hili mnaloliongelea? Amkeni kutoka usingizi wa pono unaoambatana na njozi za alinacha jamani
 
heshima kwako mkuu! Acha kashfa za uongo kwani twiga waliibiwa na watendaji na sio ccm so inabidi uache utani kwani kumbuka kuwa"
" CCM TUNA MUNGU, MAHAKAMA,POLISI, USALAMA WA TAIFA. BUT NYIE CHADEMA MNA MUNGU PEKE YAKE SO INABIDI WANACDM MUWE MAKINI SANA NA UZUSHI WENU JUU YA CCM.

Kwa akili yako Mungu ndo anayewaongoza kuwaua kina Kombe na wizi wa EPA, richmond, deep green, meremeta na mengone mengi. Tumia aikili unapomhusisha mungu ktk kazi za Magamba, usitumie Masaburi.
 
halafu hivi hamuoni aibu chama kama chenu chenye muda mwingi madarakani mnaishia kudandia mawazo na hoja za wengine kila uchao? katiba mpya mkadandia mkaishia kutojua muanzie wapi na kuishia wapi.
 
Habari wanaccm wenzangu!
Najua tuna kazi nzito ya kukitokomeza chama mufilisi CDM ambacho kinajifanya ni cha wananchi kumbe ni cha watu wachache wenye maslahi binafsi ya kuatafuna ruzuku na kusubiri wakichukua nchi wafisadi rasilimali zetu.
MY TAKE
Naomba wanaccm wenzangu kuanzia humu jf na viongozi wote wa ccm tuanzishe na sisi m4% yetu ya kuitokomeza CDM na iendeshwe na viongozi wetu kama jmakamba, mrisho gambo, shigela, fred lowasa kilango malecela, sitta, na dk. Benson bana ndo awe kiongzoi wa hii M4C.
Ama kweli ubunifu umewaishia sasa kilichobaki ni kuiga tu.
 
Kama mlianza na Maisha 8ora kwa Kila Mtanzania mkashindwa; mkaja na Ari Mpya, Nguvu Mpya, Kasi Mpya mkashindwa; mkaja na Mabilioni ya Jk mkashindwa; mkaja na Kilimo kwanza mkashindwa; mkaja na Ari Zaidi, Nguvu Zaidi, Kasi Zaidi mkashindwa; mkaja na Kujivua Gamba mkashindwa ndio mtaiweza M4C? Wacheni kabisa!
 
Habari wanaccm wenzangu!
Najua tuna kazi nzito ya kukitokomeza chama mufilisi CDM ambacho kinajifanya ni cha wananchi kumbe ni cha watu wachache wenye maslahi binafsi ya kuatafuna ruzuku na kusubiri wakichukua nchi wafisadi rasilimali zetu.
MY TAKE
Naomba wanaccm wenzangu kuanzia humu jf na viongozi wote wa ccm tuanzishe na sisi m4% yetu ya kuitokomeza CDM na iendeshwe na viongozi wetu kama jmakamba, mrisho gambo, shigela, fred lowasa kilango malecela, sitta, na dk. Benson bana ndo awe kiongzoi wa hii M4C.

tupa kapuni uchafu huu.
 
Tatizo ukianzisha watakumwagia sumu na kukuua wala haitachukua. Sijui mwenzetu unazo za kwenda tibiwa India?
 
habari wanaccm wenzangu!
Najua tuna kazi nzito ya kukitokomeza chama mufilisi cdm ambacho kinajifanya ni cha wananchi kumbe ni cha watu wachache wenye maslahi binafsi ya kuatafuna ruzuku na kusubiri wakichukua nchi wafisadi rasilimali zetu.
My take
naomba wanaccm wenzangu kuanzia humu jf na viongozi wote wa ccm tuanzishe na sisi m4% yetu ya kuitokomeza cdm na iendeshwe na viongozi wetu kama jmakamba, mrisho gambo, shigela, fred lowasa kilango malecela, sitta, na dk. Benson bana ndo awe kiongzoi wa hii m4c.

m*a*v*i y*e*n*u*!
 
Ni ajabu na kweli ,yaani una mawazoya kuifufua ccm iliyokufa?duh! Ccm ina akina lusinde wengi!
 
Zama za kuwahonga kina mama vijijini pombe na Doti za vitenge zmekwisha!!!! Na sio tutangaza ruti kwa ajili ya kunji la ukombozi!
 
Zama za kuwahonga kina mama vijijini pombe na Doti za vitenge zmekwisha!!!! Na sio muda tutatangaza ruti kwa ajili ya kunji la ukombozi!
 
Back
Top Bottom