Wana CCM rorya wasusa kupanda kivuko!kisa kina rangi ya CHADEMA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,509
11,881
katika kujiandaa kuwa chama cha upinzani CCM rorya jana wameamua kutopanda kivuko MV MUSOMA kinachomilikiwa na govt
 
Tunaambiwa kuwa ile ni moja ya ahadi ya JK mwaka 2010.

Lakini Serikali ya CCM ndio iliyopo madarakani hivyo ni wajibu wake kupitia Wizara husika kuhakikisha kivuko kinapatikana na siyo ahadi ya kipindi cha uchaguzi. Kwani wanataka kutuambia kuwa kama ingelikuwa uchaguzi upo mbali (zaidi ya miaka 4 mbele) Je wananchi wangeishi pasipo kuwa na kivuko????


Tuache siasa.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom