Wana-CCM Msiangalie Mbali. Adui Mkubwa wa CCM na Tanzania ni "Kikwete, Rostam, Pinda na Mafisadi"

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Mnaojiita wanachama wa ccm sisi kama wananchi tumechoka kugombana na hawa wakina Kikwete, Mkapa, Rostam, Lowasa, Pinda na Mafisadi wenu mjitahidi kuwadhibiti au kuwafukuza. Kama mmeshindwa fungeni hicho chama au hameni kuonyesha mnapenda Taifa lenu. Swala la Chadema na Wananchi kuwasihi Kikwete na kikundi chake wajitoe madarakani linatokana na nyie ccm kushindwa kazi yenu na it's too expensive now but we have no other choice.
1. Majanga ya uchumi
2. Katiba ya Watanzania
3. Uongozi - Unaojali Watanzania
4. Elimu kwa Kila Mtanzania
5. Afya kwa Watanzania wote
6. Maji kwa Kila Mtanzania
7. Barabara kwa kila mikoa

kikwete its time for you to take responsibilty, get out
 
Back
Top Bottom