Wana CCM mmejipanga vipi kulinda kura?

Mr.Mak

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
2,841
1,102
CCM mliwazidi kete chadema kule Igunga na michezo yenu yote waliisoma, sasa naamini kuwa zamu hii ni zamu ya cdm kufanya manuvaz ya nguvu. Nauliza wana ccm je mmejipangapanga vipi kulinda kura? Na je mkishindwa kati Lusinde na Mbowe nani atakuwa mjamzito wa kudum?
CCM lindeni kura akina slaa wajanja hawawezi kukubali muwatukane vile eti na muwashinde.
 
Maranyingi kura zao zinalindwa na vyombo vya dola mfano mzuri ni jimbo la segerea jamaa walilinda ushindi wa mh. Kwa kukimbia na masanduku ya kura
 
CCM mliwazidi kete chadema kule Igunga na michezo yenu yote waliisoma, sasa naamini kuwa zamu hii ni zamu ya cdm kufanya manuvaz ya nguvu. Nauliza wana ccm je mmejipangapanga vipi kulinda kura? Na je mkishindwa kati Lusinde na Mbowe nani atakuwa mjamzito wa kudum?
CCM lindeni kura akina slaa wajanja hawawezi kukubali muwatukane vile eti na muwashinde.

hii ni sawa na kulazimisha maji yapande mlima!
 
Aibu tupu, sasa walinde kura gani? Nimetoka Arumeru mwenyewe, hata sijaona ni wapi ccm wamefungia kampeni zao. kwa hali ilivyokuwa, hakuna kura za kulinda ccm. Na ukiona CCM wamefikia hatua ya kulinda kura, ujue mwisho umefika. Chama tawala kinalinda kura????????????? Wana askari polisi, usalama wa taifa, tume ya uchaguzi, na kila kitu....Kwanza Slaa amesema mbinu ambayo imepangwa na Rajabu Kilavu and wana CCM ya kuchakachua kura, kikao ambacho kimefanyika asubuhi jijini Dar, wamekipata kama kilivyo, tena kibaya wameambiwa na usalama wa taifa. Kama unataka Source, subiri kesho matokeo.
 
wamejiandaaeje kulinda kura, au wamejiandaaje kuiba kura

swali ni je wamejiandaaje kuiba kura na si kujiandaa kulinda kura kwani aTa tume ya uchaguzi iko pale kulinda kura za ccm na zikipungua Iko radhi kusaidia kuongeza kura za ccm kwa kuwasaidia kuiba, UKUMBUKI SHINYANGA ATI MGOMBEA WA CDM ALIZIDIWA KWA KURA MOJA, KABOBO ILO
 
Kama ccm ni wezi huko walikoshinda kina mbowe n others ccm hawakua na wagombea au??? Jaribu kureason fact kabla hujaconfirm
 
maeneo yote walikoshinda CDM,walipigania sana,unajua CCM walicho kifanya Sumbawanga uchaguzi wa 2010?,hawa jamaa usipo wabana wanakumaliza,ni hatari kuliko swila ila ukiwabana ni wepesi sana.
 
Back
Top Bottom