Wana CCM Kiwira wakamatwa kwa rushwa

Mkuu Kimbunga, wale wakinamama wenu wa Magamba walikusanyika katika nyumba hapa Kiwira wakigawana rushwa, hata hivyo gawio lilikuwa la kupunjana, mmoja wao akajifanya Yuda Isakariote! Akachomoka kuwatonya viongozi wa CHADEMA waloamua kuizingira nyumba hiyo na kuwapigia simu polisi wa Magamba. Chakusikitisha hapa Tz. CCP polisi wetu wamefundisha kuwatetea Mgamba kwa nguvu zao zote hata kama ni kumwaga damu wa watetea haki, palisi walichokifanya hapa kiwira ni kuanza kurusha mabomu ya machozi hovyo hovyo ili kuwaruhusu akinamama hao kusepa kusikojulikana!. Kesho we subiri RPC wa Mbeya kukanusha habari hii vikali.
pamoja mkuu uko sehemu gani,
 
watu wengine wanaleta thread hapa haraka haraka bila details sijui wanawahi kuwa wa kwanza? kitu haina contents unaweka ya nini??

Mkuu acha lawama zisizo na Musingi, thread hii ililetwa humu bila mchelemchele laki Mod. akaimove hata hivyo na mshukuru Bhavick kwa kuirudisha kwa kichwa kingine tena, Ni jambo la kusikitisha sana kuwa polisi wa Tz. wameamua kuwalinda ccm hata kama wanajua kwamba uvumilivu wa binadamu popote pale duniani una kikomo chake. Ni kweli kabisa kwamba polisi hawataki kutimiza wajibu wao kwa mjibu wa kusudi la kuundwa kwa chombo hicho hapa tz, hii ni hatari sana kwa taifa letu la Tz.
 
Ni ktk harakati za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika kesho.ILIKUWA HIVI,viongozi wa chama cha Mapinduzi,walikaa kwenye nyumba fulani hapa kiwira,wafuasi wa Cdm wakaizingira nyumba hiyo,na kuenda kuita polisi na Takukuru.polisi walipofika wakaanza kupiga mabomu,na wafuasi wa Ccm kukimbia.
binafsi sijskuelewa kabisa ebu tulia kwanza afu utujuze
 
pamoja mkuu uko sehemu gani,

Mkuu Bhavick nimejificha kwenye nyumba moja karibu na daraja la mto kiwira kuelekea Igogwe, nimepoteza viatu vyangu katika mkanyagano wa kukimbia mabomu ya polisi huku mvua ikitunyeshea ile mbaya hapa Kiwira, tulitegemea Polisi kutenda haki kumbe wanakuja kutupiga mabomu ili kuwanusuru wanawake wa magamba walikuwa wakigawana cha juu ili kisariti demokrasia ya wanakiwira kumpata diwani wanayemtaka.
 
Ni ktk harakati za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika kesho.ILIKUWA HIVI,viongozi wa chama cha Mapinduzi,walikaa kwenye nyumba fulani hapa kiwira,wafuasi wa Cdm wakaizingira nyumba hiyo,na kuenda kuita polisi na Takukuru.polisi walipofika wakaanza kupiga mabomu,na wafuasi wa Ccm kukimbia.

Hivi kwanini JF inaruhusu darasa la saba kujiunga nayo?
 
Kitendo hicho cha kuwataarifu polisi ndiyo kosa kubwa!! kwani ccm wanatoa taarifa polisi kuja kuwalinda dhidi ya cdm. Next time, hao wanamama, wawekeni chini muwape somo wataelewa tu. Akina mama ndiyo mtaji wa ccm saizi! Ila 2015 siyo mbali kwani kila kichwa kitakuwa kimejiandikisha na kama liwalo na liwe basi ni 2015.

Mrembo WA-UKENYENGE, Hapa Kiwira kuna kinamama wa Kiislamu, kama tungechua hatua unayoipendekeza ya Igunga yangejirudia kwamba tumewavua hijabu zao na tungepelekwa mahakamani kwa kesi ya kupikwa kama ya mama wa Igunga, tumechoshwa na kesi za kupikwa na polisi wa Magamba.
 
magari hayapiti pale muda huu, bdo kuna vurugu.

Tujulisheni leo kwani waccm wote mkoa wa mbeya wako Tukuyu kwa ajili ya kufanya kampeni za mwisho. Wengi nimekutana nao Uyole wakitokea Mbarali, Chunya, Mbozi, Tunduma, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Ireje wakiwa na magari yao yakienda kwa kasi nilipowasiliana na rafiki yangu Katibu wa CCM wilaya fulani amenieleza wanakwenda kumalizia kampeni Tukuyu na nasikia Kyela wako tangu Jtatu iliyopita.

Vipi kukoje huko?
 
Mkuu Bhavick nimejificha kwenye nyumba moja karibu na daraja la mto kiwira kuelekea Igogwe, nimepoteza viatu vyangu katika mkanyagano wa kukimbia mabomu ya polisi huku mvua ikitunyeshea ile mbaya hapa Kiwira, tulitegemea Polisi kutenda haki kumbe wanakuja kutupiga mabomu ili kuwanusuru wanawake wa magamba walikuwa wakigawana cha juu ili kisariti demokrasia ya wanakiwira kumpata diwani wanayemtaka.
dawa yao mungewafungia kwa nje humo walimojificha afu mungewa mchungaji kibwetele
 
Katika hali isiyo ya kawaida polisi wametumia nguvu kubwa kuwafukuza wananchi waliokuwa wakiandamana kupinga rushwa zilizokuwa zikitolewa na wana ccm ktk ukumbi fulani ambapo waliwakusanya wakinamama na kuanza kuwagawia hela lakini mama mmoja alichukua hatua ya kuwapigia viongozi wa chadema na kuwaeleza yaliyojili kwenye huo ukumbi ndipo wananchi kwa hasira waliamua kuvamia ukumbi huo na fujo ndio zikaanza na kudumu kwa zaidi ya masaa matano mpaka polisi walipoishiwa mabomu na kuomba viongozi wa chadema kuwatuliza wananchi na ndipo hali ikawa shwari nawasilisha:lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1:
 
Hakuna nguvu ya dola iliyowahi kuishinda nguvu ya umma duniani.
 
Katika hali isiyo ya kawaida polisi wametumia nguvu kubwa kuwafukuza wananchi waliokuwa wakiandamana kupinga rushwa zilizokuwa zikitolewa na wana ccm ktk ukumbi fulani ambapo waliwakusanya wakinamama na kuanza kuwagawia hela lakini mama mmoja alichukua hatua ya kuwapigia viongozi wa chadema na kuwaeleza yaliyojili kwenye huo ukumbi ndipo wananchi kwa hasira waliamua kuvamia ukumbi huo na fujo ndio zikaanza na kudumu kwa zaidi ya masaa matano mpaka polisi walipoishiwa mabomu na kuomba viongozi wa chadema kuwatuliza wananchi na ndipo hali ikawa shwari nawasilisha:lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1:

ukumbi fulani: Ukumbi gani? kiwira kuna kumbi? jaribu kutoa maelezo kama wenzako wa Meru. andika habari inayojitosheleza, ikiwa ni pamoja na kuweka wazi jibu la swali Wapi. kiwira kuna ukumbi gani. nilidhani ni kijijini fulani mbona
 
subiri ujibiwe na siyo kuishia kudhani kama unavyodhani, kiwira si kijijini...
 
Kichenchede!!!
Kama huijui nchi hii nyamaza tu
 
ukumbi fulani: Ukumbi gani? kiwira kuna kumbi? jaribu kutoa maelezo kama wenzako wa Meru. andika habari inayojitosheleza, ikiwa ni pamoja na kuweka wazi jibu la swali Wapi. kiwira kuna ukumbi gani. nilidhani ni kijijini fulani mbona

Akina Thomaso utawajua tu! Haya mkuu. Wamekutwa kwenye jengo la Saccos ambalo bado liko kwenye ujenzi.
 
Back
Top Bottom