Wana CCM 1,000, Wenyeviti wa Vitongoji Arumeru Wahamia Chadema

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Katika kile kinachoonekana kuwa wananchi wa vijijini nao wanaichoka ccm kwa kasi ya ajabu na kuona chama mbadala ni chadema, wana CCM zaidi ya 1,000 pamoja na wenyeviti wa vitongoji kadhaa wamerudisha kadi za ccm na kujiunga chadema. Hilo ni pigo kubwa kwa ccm hasa ukizingatia kutakuwa na uchaguzi mdogo Arumeru!

Source: mwananchi uk wa 5
 
Kazi imeanza! Afu magamba wakumbuke kua huko sio Igunga, afu Sumari aliiba kura, na laana ya wananchi ndo imempeleka huko kuzimu!
 
Ngoja wakuu wapite,nitarudi baadaye mara nitakapofahamu ni Arumeru magharibi au Mashariki maana juzi walihama 960 kule Arumeru magaharibi,nisije jikuta nafanya sherehe mara mbili kwa tukio lilelile moja
 
Vijana wenzangu ndani ya CHADEMA hayo yote yanayoendelea kutokea kila pembe kote nchini bado ni rasha rasha tu ya dalili za mabadiliko ya kufa mtu nchini; mvua yenyewe ya masika ya mabadiliko ndio kwaaaanza yako njiani.

Wala asije akashangaa mtu kusikia wilaya nzima kuhamia CHADEMA miezi si mingi toka sasa. And that's fact anyway!!!

Katika kile kinachoonekana kuwa wananchi wa vijijini nao wanaichoka ccm kwa kasi ya ajabu na kuona chama mbadala ni chadema, wana CCM zaidi ya 1,000 pamoja na wenyeviti wa vitongoji kadhaa wamerudisha kadi za ccm na kujiunga chadema.

Hilo ni pigo kubwa kwa ccm hasa ukizingatia kutakuwa na uchaguzi mdogo Arumeru!

Source: mwananchi uk wa 5
 
Sasa la ajabu nini, wahamie tu lakini kwenye sanduku la kura CCM lazima ishinde.
 
Sasa la ajabu nini, wahamie tu lakini kwenye sanduku la kura CCM lazima ishinde.

Sahau!!usifikiri bado tuko karne ya 20!just forget that!kama vp nawe rudisha kadi hilo la magamba!si unawaona wenzako wamesoma alama za nyakati?
 
Katika kile kinachoonekana kuwa wananchi wa vijijini nao wanaichoka ccm kwa kasi ya ajabu na kuona chama mbadala ni chadema, wana CCM zaidi ya 1,000 pamoja na wenyeviti wa vitongoji kadhaa wamerudisha kadi za ccm na kujiunga chadema. Hilo ni pigo kubwa kwa ccm hasa ukizingatia kutakuwa na uchaguzi mdogo Arumeru!

Source: mwananchi uk wa 5

Arumeru ipi???
 
Ngoja wakuu wapite,nitarudi baadaye mara nitakapofahamu ni Arumeru magharibi au Mashariki maana juzi walihama 960 kule Arumeru magaharibi,nisije jikuta nafanya sherehe mara mbili kwa tukio lilelile moja

Haina tatizo Ng'wana Sweke "Mhola ahene". Mbona kwenye harusi moja kuna sherehe tatu? Yaani Kitchen Party, Send off na Receiption. Wewe twanga tu sherehe hata kama zitafika kumi kwa tukio lilelile moja.
 
tuhamasike zaidi...kila mahali,bila kujali DINI..mbona hamtaki ukombozi vibao,ngumi,mateke,vichwa,vipepsi,ngwara,mieleka na rafuuuuu zoooote za magamba hamjaziona...hakya Mungu tucpo badilika..tutalia na kusaga meno!
Mbona wengi wanaweza mnang'ang'ania magamba na tunazidi kupigika...NI AIBU.
 
Ngoja wakuu wapite,nitarudi baadaye mara nitakapofahamu ni Arumeru magharibi au Mashariki maana juzi walihama 960 kule Arumeru magaharibi,nisije jikuta nafanya sherehe mara mbili kwa tukio lilelile moja
...jiachiee/jipe raha kwa tan yako mkuu,acha kujibana-bana kumbuka sherehe moja huanzisha nyingine..."unatumia kinywaji gani?",mwambie muudum akuongeze one for the road!...
 
Kazi imeanza! Afu magamba wakumbuke kua huko sio Igunga, afu Sumari aliiba kura, na laana ya wananchi ndo imempeleka huko kuzimu!

jamani angalia maneno unayoongea. una hakika yuko kuzimu? na je una hakika aliiba kura? unajua kilichomuua? please be serious and be humane because i dont think you would like to hear the same being said about you or anyone you think is valuable to you.

pole sana
 
Kama habari hii sio propaganda, chama tawala kina hali mbaya sana ambayo kimejitengenezea chenyewe kwa mudamrefu.
 
You can eat your cakes and then have them. CCM ina slow pancha......upepo unatoka taratiiiiiiiiiibu mwishowe utaisha kabisa japo itachukua muda!!!Hongera watu wa Arumeru.........this is emancipation
 
Sahau!!usifikiri bado tuko karne ya 20!just forget that!kama vp nawe rudisha kadi hilo la magamba!si unawaona wenzako wamesoma alama za nyakati?

yaani ni sawa na kumwambia polisi auze bunduki abakiwe na rungu. Siwezi kurudisha kadi yangu hata kama chama kife.
 
Aloo hii ishu nilidhani ni propaganda kumbe kweli, nina rafiki yangu kanipigia kweli amerudisha kadi ya CCM amenishauri na mimi niirudishe kadi yangu ya CCM.
 
Back
Top Bottom