Wana Arumeru Mashariki msidanganyike, fanyeni kweli

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,038
10,684
Vuguvugu la kuwapata wagombea watakaochuana na hatimaye kupigiwa kura kujaza nafasi ya Ubunge iliyoachwa wazi wa marehemu Jeremiah Sumari inashika kasi.Ninachowaomba wana-Arumeru Mashariki msidanganyike na propaganda zinazoenezwa na wenye dola na wapambe wao.Wapigeni chini siku ya uchaguzi maana wameshashindwa kuleta mabadiliko ya kweli.
 
Ulimankafu nataka uwajue wale ni watu wa aina gani,hawawezi kudanganywa kirahisi niwatu wenye misimamo na wanajua haki zao baba!kazi kwa mwigulu na mihela ya lowassa
 
Mkuu nenda kaongeze nguvu kampeni zikianza, huko utaeleweka zaidi.
 
chagueni lema no 2 yaani ukanda huo uwe wa wabunge wa fujo,kesi, mahakamani,maandamano tofauti na watu wa hoja kama mnyika,zito,wenje,lissu
 
Its true ukanda huo unahitaji watu wa mavurugu ingawa hata CCM nawajua niwapenda mafujo na kuua watu tu.............................................
 
we kuzou/kuzoa kaza buti kazi ya kuuza madafu naona imekuelemea jitoe jf ucjeukakosa kipato.
 
chagueni lema no 2 yaani ukanda huo uwe wa wabunge wa fujo,kesi, mahakamani,maandamano tofauti na watu wa hoja kama mnyika,zito,wenje,lissu

We kweli Nyau kabisa!!usipende kugawa watu kwa ukanda!
 
chagueni lema no 2 yaani ukanda huo uwe wa wabunge wa fujo,kesi, mahakamani,maandamano tofauti na watu wa hoja kama mnyika,zito,wenje,lissu

Yawezekana hufahamu ukweli ulivyo au unaamua kupotosha makusudi!!! Kwa ufupi ni kwamba vurugu zote unazoziona leo hii chanzo ni CCM!! wanaendesha nchi ya vyama vingi kwa mfumo wa chama kimoja!! na hii ni hatari sana.
 
Ulimankafu nataka uwajue wale ni watu wa aina gani,hawawezi kudanganywa kirahisi niwatu wenye misimamo na wanajua haki zao baba!kazi kwa mwigulu na mihela ya lowassa

Mimi wameru na wakazi wengine wa maeneo hayo nawajua kwa misimamo yao thabiti,lakini vitisho na fedha vimeanza kunitia shaka.
 
Vuguvugu la kuwapata wagombea watakaochuana na hatimaye kupigiwa kura kujaza nafasi ya Ubunge iliyoachwa wazi wa marehemu Jeremiah Sumari inashika kasi.Ninachowaomba wana-Arumeru Mashariki msidanganyike na propaganda zinazoenezwa na wenye dola na wapambe wao.Wapigeni chini siku ya uchaguzi maana wameshashindwa kuleta mabadiliko ya kweli.

Subiri mwaka 2015 uwaambie wapiga kura katika Jimbo lako ya Arumeru waachie waarumeru wenyewe.
 
Ushauri mzuri kabisa maana si wana Arumeru wote wanatembelea JF.... kwa hiyo ushauri wako unaweza usiwafikie walengwa wote.

Nasikia mnataka kumuweka meneja wa kampeni Mwigulu Nchemba afanye yale Igunga
 
Vuguvugu la kuwapata wagombea watakaochuana na hatimaye kupigiwa kura kujaza nafasi ya Ubunge iliyoachwa wazi wa marehemu Jeremiah Sumari inashika kasi.Ninachowaomba wana-Arumeru Mashariki msidanganyike na propaganda zinazoenezwa na wenye dola na wapambe wao.Wapigeni chini siku ya uchaguzi maana wameshashindwa kuleta mabadiliko ya kweli.
vurugu unazoziona Arusha ni kutokana na CCM kutokukubali kushindwa na kuvunja katiba kwa kuchagua Meya bila kufuata sheria sasa watu wa huku sio kondoo wanazijua haki zao na hawakubali mtu achezee kura au katiba so wanafanya everything in place kusimamia hilo, wewe waone wanafanya fujo hata ANC, SWAPO, TANU FRELIMO nk wakati wanapigania ukombozi walionekana wa fujo,. kama huelewi siasa za arusha kaa kimya!!
 
Absolutely agreed mate.
 
Back
Top Bottom