Wamiliki wa makampuni ya ving'amuzi mnao wakati mgumu!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wana wa familia hii hamjambo?.Kama nionavyo mimi hawa jamaa kama hawatabadilisha mabei yao ya vifurushi vyao hawatapata wateja,kwa hasa sisi tulio huku mikoani huduma ya cable unafungiwa kwa mwezi unalipia sh elfu5 chaneli zote unapata zikiwamo za super sport,ije kuwa wao mipira hawana wanarusha chaneli za fta zinazopatikana kwenye cable kwa kukuuzia kwa gharama za juu.
 
Na kweli... Hao wa cable si kwamba wanakutoza nafuu.. Wanakununua kimtindo usiwatajetaje kama unavyofanya sasa.. So kama dandabo hapo juu,enjoy kimyakimya..
 
4 sure hawa wa2 wa ving'amuzi wamezidi bei kubwa af chanels chache,moreover hazina mambo mazuri sana!af cku iz wameanzisha tabia kila cku wanaibuka na vifurushi vipya na kupandisha bei..
 
Back
Top Bottom