Wamiliki wa mabasi wapewe somo

jack chance

Member
Jul 2, 2009
17
0
WAMILIKI WA MABASI WAPEWE SOMO.

Miaka ya karibuni kumekuwa na ongezeko la kuzagaa taka sehemu nyingi za nchi yetu, baadhi yake ikiwa ni zile za plastic ambazo haziozi, nimeshuhudia taka hizi zikizagaa sehemu mbalimbali wakati nikisafiri toka Dar mbeya, NI VEMA sasa mamlaka husika zikatoa mwongozo wa vyombo vya usafiri wa abiria kuwa na makapu ya taka ndani ya mabasi ili kupunguza tatizo hili la uharibifu wa mazingira na atakeye kiuka achukuliwe hatua. wadau mnasemaje?
 
Back
Top Bottom