Wamikoani: Tutawaona vijana wa Julio live leo? Msaada

matunge

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
442
426
Wakuu naomba msaada!! kufahamishwa ni TV gani itaonesha mechi kati ya Vijana wa Julio na Cobs wa Uganda??
 
Hapo ndipo utakapojua kuwa bado tz tuko nyuma sana katika tasinia ya habari.Hiyo ilitakiwa maafisa wa habari wa tff kuwajuza wananchi kama kuna muhafaka wowote wa kuonesha kwenye tv yoyote but wako kimya,ili ni tatizo kubwa la nchi yetu kufanya mambo kwa kubahatisha.
Nakushauri tune Star,na kodoakodoa kwa tbc1
 
Hapo ndipo utakapojua kuwa bado tz tuko nyuma sana katika tasinia ya habari.Hiyo ilitakiwa maafisa wa habari wa tff kuwajuza wananchi kama kuna muhafaka wowote wa kuonesha kwenye tv yoyote but wako kimya,ili ni tatizo kubwa la nchi yetu kufanya mambo kwa kubahatisha.
Nakushauri tune Star,na kodoakodoa kwa tbc1

Kaka Bendera ya bati, kwani tupo mbele kwenye tasnia ipi?
 
hapo ndipo utakapojua kuwa bado tz tuko nyuma sana katika tasinia ya habari.hiyo ilitakiwa maafisa wa habari wa tff kuwajuza wananchi kama kuna muhafaka wowote wa kuonesha kwenye tv yoyote but wako kimya,ili ni tatizo kubwa la nchi yetu kufanya mambo kwa kubahatisha.
Nakushauri tune star,na kodoakodoa kwa tbc1

umenena kweli
 
Ya umbeya,wizi/ufisadi,majungu,ushoga,umalaya,uchawi,njaa na umasikini!

Mkulu Yericko,naona umenisaidia sana kujibu hilo swali kwa mwana JF mwenzetu make ni kama umewaza na kuyaleta mawazo yangu vivyo hivo,yaani umekopi na kupesti.
 
Najiuliza sana hivi hiki ndo alichofukuziwa Tido Mhando?jamani sijuhi niongeeje,hivi hii TBC jamani mbona inatuumiza hvi sie watanzania wanyonge,kwanini???kwanini tunapata shida ya kuuona mpira wetu hata unaochezwa hapa kwetu,hii TBC ina maana kazi yao ni kuonyesha upuuzi wa CCM tu hapa Tanzania? Niko naangalia Mozambique TV wanaonesha ligi ya kwao daily,sie hapa TBC wanashinda wanaonesha tamthilia, ni nani aliwaambia sisi tunahtaji hzo filamu za kifara? Hata wakati Taifa stars ikiwa Msumbiji juzi, hatukuonyeshwa mechi hyo,sasa mie najiuliza shirika limebnafsishwa ama imekuwa kampuni ya ccm,taharifa za habari mnatuchagulia,timu zetu kwenye mechi za kimataifa hamtuonyeshi,WHO YOU THINK ARE YOU TBC IN THIS COUNTRY???FOR WHOM ARE YOU? COCROACHES,OAKS.BABOONS,REBELS,STUPID,FOOLS,CURSED

Natamani kwenda pale bamaga nikairipue hii Tanzania Broadcasting for CCM,INAUMA SANA NDUGU ZANGU,I WISH NISINGEZALIWA TANZANIA,
 
Najiuliza sana hivi hiki ndo alichofukuziwa Tido Mhando?jamani sijuhi niongeeje,hivi hii TBC jamani mbona inatuumiza hvi sie watanzania wanyonge,kwanini???kwanini tunapata shida ya kuuona mpira wetu hata unaochezwa hapa kwetu,hii TBC ina maana kazi yao ni kuonyesha upuuzi wa CCM tu hapa Tanzania? Natamani kwenda pale bamaga nikairipue hii Tanzania Broadcasting for CCM,INAUMA SANA NDUGU ZANGU,I WISH NISINGEZALIWA TANZANIA,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom