Wamesha piga nne nne na bado wanaendelea

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Jamaa ni noma, usiombee wa gate crush kwenye shughuli yako.


333477_451381311547410_421707460_o.jpg
 
Kwa upakuaji wa hawa jamaa inabidi UWAAMBIE WASUBIRI WAGENI WENGINE WAPAKUE KWANZA......Hawakawiii kuwalaza njaa GUESTS wengine!!
 
bird1.jpg


memorable quote: Life is a race.. If you don't run fast.. You will be like a broken anda (egg)..
 
mi sio mpenzi wa muvi za kihindi ila hawa jamaa niliwakubali, ni noumaaa.
 
Back
Top Bottom