Wamekula maandishi yote

2k Genius

Member
Feb 27, 2011
88
9
Mzee mmoja alikuwa aishi na mtoto wake ambaye ni mvivu sana kuandika shuleni....cku moja mzee akamnunulia madaftar mapya mwanae huyo halafu ijumaa moja baada kutoka shule akamwita ili atizame daftari
BABA;we mtoto hebu kalete daftari zako upesi
mtoto huku akijua kuwa hajaandika,akaenda kuchukua daftar
wakat anarud alirud analia sana
BABA;unalia nn
MTOTO;hii yote ni sababu ya ubish wako baba
BABA;ubish gan we mtoto
MTOTO;nilikuambia humu ndan kuna panya sugu ukabisha,ona sasa wamekula maandishi yote kwenye daftar(HUKU AKIONESHA DAFTAR TUPU)
BABA;shenz kabisa..
 
dingi nae alikuwa kihiyo akatega sumu madaftari yote kilichofuata.......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom