Wamehakikisha hatuangalii news leo...

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Leo umeme umekatwa mapema jioni na wamerejesha saa hizi, saa 4 usiku. Sijui ni hila ili tusione hekaheka za CDM za leo huko Jangwani?

Tanesco wametumiwa kisiasa?
 
Leo umeme umekatwa mapema jioni na wamerejesha saa hizi, saa 4 usiku. Sijui ni hila ili tusione hekaheka za CDM za leo huko Jangwani?

Tanesco wametumiwa kisiasa?

Umeongea kama wana jf tunaishi mtaa mmoja, mwenzetu uko mkoa gani?
 
Mikoa mingi sana leo wamefanya hvyo,Mwanza,DSM,Mtwara etc,kweli tu watawala wenye akili nyepesi
 
Kama mtu binafsi tu anashawishi tanesco wazime umeme ili wao(mafisadi) wauze wa kwao,kama mmoja wa wafanyakazi alivyomwambia waziri,sembuse chama!
 
Mikoa mingi sana leo wamefanya hvyo,Mwanza,DSM,Mtwara etc,kweli tu watawala wenye akili nyepesi

Mimi nipo Dar na sijatumia backup yoyote ya umeme. Au upo madongo-kuporomoka unajihesabu upo Dar?
 
Mikoa mingi sana leo wamefanya hvyo,Mwanza,DSM,Mtwara etc,kweli tu watawala wenye akili nyepesi

Mkuu mbona mimi nipo Dar umeme haujakatika. Usije ukasema naishi uzunguni, mimi naishi kwa wapiga kura AKA wananchi wa kawaida.
 
ccm na nape oyeeeee...maslahi matumbo yao hawa ccm wana roho mbaya sana wanaweza kunywa hata uji wa mtoto hawa
 
ccm na nape oyeeeee...maslahi matumbo yao hawa ccm wana roho mbaya sana wanaweza kunywa hata uji wa mtoto hawa

ni bora wanywe uji harafu wamwache mtoto walivyo na roho mbaya wanaweza ua na mtoto mwenyewe ili wapate kura pirau ya msiba.
 
mkoa wa Tabora,maeneo ya Igunga walikata pia na kuurudisha baada ya mkutano kuisha
 
Back
Top Bottom