wameenda wapi wabunge 54 kwenye kupilisha budget? uchaguz wa wabunge E.A walikupo wote

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
idadi ya wabunge 54 kutokuwepo kwny maswala ya msingi ni udhaifu unaendelea kwa watanzania kufanya maamuzi kwa kususa au kuacha kushiriki . tabia hii inakua na imeendelea hata kweny chaguzi kubwa . chukulia mfano uchaguz uliopita. watanzania tuwe serious kweny maswala ya msingi. mwenye list ya wabunge wasiokuwepo aiweke watanzania tuwajue na sabab zao
 
Back
Top Bottom