Wameanza tena!

Pure nomaa

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
1,158
1,381
...............................Peter na mdogo wake John walikuwa wanalala kitanda kimoja cha spring na wazazi wao.wakati wa usiku wazazi wao walikuwa wanavizia peter na john wamelala na kuanza kufanya mapenzi.kutokana na kitanda kunesanesa wanapofanya mapenzi peter na john wakawa wanajikuta wanaanguka.peter na john baada ya kufanya uchunguzi wakagundua kuwa wanaanguka kutokana na kitanda kunesanesa wakati wazazi wao wanapofanya mapenzi.siku moja usiku peter alishtuka kutoka usingizini na kuwaona wazaz wao wakijiaandaa kufanya mapenzi.............. ndipo peter alipomwamsha john na kumwambia "jishikilie vizuri wameanza tena"
 
unapoandika wakati mwingine jaribu kutumia akili vinginevyo kaa kimya this is home of great thinkers you are not among them
 
kila mtu hutumia akili mind drive kwa kila analolifikiria ila wewe una short mind drive sometime unaweza kusema light of ur mind kwenye situation imepotea hapa ni uwanja wa joke udaku tatizo lako mind aware haipo
 
Ha..ha,haa..
Kaka umeona noma kusema ni nyumba ya kota..
Tena za maaskari...
Next tym ntakipiga mim hki..naamini source yetu ni moja ,sema unakionea haya..
Inachekesha sana..
Haa,hAa..
 
unapoandika wakati mwingine jaribu kutumia akili vinginevyo kaa kimya this is home of great thinkers you are not among them

Hahahahahahahahahahahaha......jokes ninini?Twende tukutane majukwaa mengine ie siasa,intelligence etc kwa mijadala mizito!Hapa ni kwa ajili ya kumalizia siku kwa tabasam!!!
 
...............................Peter na mdogo wake John walikuwa wanalala kitanda kimoja cha spring na wazazi wao.wakati wa usiku wazazi wao walikuwa wanavizia peter na john wamelala na kuanza kufanya mapenzi.kutokana na kitanda kunesanesa wanapofanya mapenzi peter na john wakawa wanajikuta wanaanguka.peter na john baada ya kufanya uchunguzi wakagundua kuwa wanaanguka kutokana na kitanda kunesanesa wakati wazazi wao wanapofanya mapenzi.siku moja usiku peter alishtuka kutoka usingizini na kuwaona wazaz wao wakijiaandaa kufanya mapenzi.............. ndipo peter alipomwamsha john na kumwambia "jishikilie vizuri wameanza tena"
Deja vu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom