Wameamua

Kingsimba

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
382
115
Habari wana jf!da mwenzenu nipo kwenye mtego...nina msichana mmoj wa kizungu toka state ananitesa sana.....tulikua marafiki kupitia facebook miaka mitano nyuma akaniambia ananipenda sana na ipo siku atakuja africa kwa sababu yangu.......mwishoni mwa mwaka jana amekuja......tatizo ni moja tuu ananishawishi nijiunge kitu ambacho sikifahamu....na kinanitisha sana tukiwa zenji siku ya mkesha wa mwaka mpya niligundua tattoo ya no#666 kwenye ziwa nilipo uliza akasema nipunguze maswali na tangu siku hiyo ananishawishi vitu vya ajabu ajabu mala anataka nijiunge na vitu ambavyo sivielewi kiundani...anadai naweza kuwa na uwezo mkubwa sana ndani ya africa na ulimwengu ukanitambua......naombeni ushauli ndugu zangu....nijiunge na hii kitu
 
Kitu gani mkuu ? akili hii unayoulizia hapa tumia kukataa na kuachana nae,kwani lazima ?
 
nilisha achana nae sema amemtuma jamaa mmoja toka hap dsm yeye haishi kunipigia simu na kunitishi na yeye anataka me nikubari
 
Mkuu hao ni freemansons dah! Pole sana. Hebu fikiria kwa kina, fanya maamuzi sahihi bt ujue ndio mambo hayo teh! Pole sana!
 
Habari wana jf!da mwenzenu nipo kwenye mtego...nina msichana mmoj wa kizungu toka state ananitesa sana.....tulikua marafiki kupitia facebook miaka mitano nyuma akaniambia ananipenda sana na ipo siku atakuja africa kwa sababu yangu.......mwishoni mwa mwaka jana amekuja......tatizo ni moja tuu ananishawishi nijiunge kitu ambacho sikifahamu....na kinanitisha sana tukiwa zenji siku ya mkesha wa mwaka mpya niligundua tattoo ya no#666 kwenye ziwa nilipo uliza akasema nipunguze maswali na tangu siku hiyo ananishawishi vitu vya ajabu ajabu mala anataka nijiunge na vitu ambavyo sivielewi kiundani...anadai naweza kuwa na uwezo mkubwa sana ndani ya africa na ulimwengu ukanitambua......naombeni ushauli ndugu zangu....nijiunge na hii kitu

mbona haueleweki sasa wewe mwenyewe haujui hivyo anavyokushauri ujiunge navyo ni vitu gani?
Hapo hapo unataka wadau wakupe ushauri je wakupe ushauri wa nin? Sasa ikiwa kati ya majibu 2 au ushauri wa wadau moja wapo ushautekeleza kwa kukataa kujiunga na hicho kitu umeubakiza 1.

Je kama wadau watakushauri tofauti na uamuzi ambao umekwisha uchukua utakuwa tayari kuufuata?

Minakushauri kubali kwasababu hajajua ni mambo gani? Hayo.
Usije piga teke koba la fweza buree
 
Kaa nao mbali Kingsimba....na umuombe sana Mungu wako akupitishie mbali na majaribu hayo.
 
usijar rang kbs km ni nyeupe tafuta wa mkorogo mujin wamejaaa.huyo ni nuksi.jaribu kusitisha minz zote za mawasiliano nae
 
Habari wana jf!da mwenzenu nipo kwenye mtego...nina msichana mmoj wa kizungu toka state ananitesa sana.....tulikua marafiki kupitia facebook miaka mitano nyuma akaniambia ananipenda sana na ipo siku atakuja africa kwa sababu yangu.......mwishoni mwa mwaka jana amekuja......tatizo ni moja tuu ananishawishi nijiunge kitu ambacho sikifahamu....na kinanitisha sana tukiwa zenji siku ya mkesha wa mwaka mpya niligundua tattoo ya no#666 kwenye ziwa nilipo uliza akasema nipunguze maswali na tangu siku hiyo ananishawishi vitu vya ajabu ajabu mala anataka nijiunge na vitu ambavyo sivielewi kiundani...anadai naweza kuwa na uwezo mkubwa sana ndani ya africa na ulimwengu ukanitambua......naombeni ushauli ndugu zangu....nijiunge na hii kitu

Bila ya kutuelewesha hivyo vitu unafikiri tutaweza kukusaidia? Kuwa muwazi kwani ugonjwa hutibiwa baada ya kutambulika. Kama hayo mambo ni mauzauza kwanini uingie katika jambo usilolijuwa?
 
mbona haueleweki sasa wewe mwenyewe haujui hivyo anavyokushauri ujiunge navyo ni vitu gani?
Hapo hapo unataka wadau wakupe ushauri je wakupe ushauri wa nin? Sasa ikiwa kati ya majibu 2 au ushauri wa wadau moja wapo ushautekeleza kwa kukataa kujiunga na hicho kitu umeubakiza 1.

Je kama wadau watakushauri tofauti na uamuzi ambao umekwisha uchukua utakuwa tayari kuufuata?

Minakushauri kubali kwasababu hajajua ni mambo gani? Hayo.
Usije piga teke koba la fweza buree

cash sio tatizo coz anani shauri nifungue kampuni alafu nimwambie nahitaji nini!na ameniunganisha na watu mbali mbali kwenye makampuni ya kuuza bidhaa ulimwenguni....nayeye ni mfanya biashara na mbunifu wa mavadhi
 
mfisha maradhi mauti humuumbua, kuwa muwazi usaidiwe njia ya kutokea kwa sababu tayari ulishaingia bila kutulisha ndunguzo wa jf
 
Jiunge tu haina shida.Mbona hata prezidaa kajiunga. .......
MP.
 
wewe unaogopa nini kwani si mpaka uingie ndani uone kuna nini?mie nimewaona wanavaa nguo nyeusi na matatoo mengi ya kutisha yenye alama za kuashiria shetani au kifo lol...ila ni imani tu hawaamini kama kuna mungu...ila wako peace hawana shida yeyote,ukikaa nchi zao utawazoea...
 
afu kumbe hii mitandao km facebook inatoa wachumba??? ngoja nikasake na mie njemba lenye mihela.....
 
mfisha maradhi mauti humuumbua, kuwa muwazi usaidiwe njia ya kutokea kwa sababu tayari ulishaingia bila kutulisha ndunguzo wa jf

sijajiunga ila kuna hatua nahisi zilitaka kunikusanya kwenye kusanyiko la shetani maana huyu jamaa anang'ang'ania sana jamani.....kabla yenu nimeomba ushauri sehemu mbali mbali mpaka mwanasheria wa familia pia ananiambia hii kitu niwe akini sana.......alafu huyudada yeye ndio alini add kwenye mtandao mimi nilikua simjui ila alini inbox b 4 ku accept awe rafiki na mimi.
 
Acha panic.af unaonekana hujielew utajiri unautaka,mashart unaogopa,bt remember no free dinner cku hizi,u hv 2pay 4it! Achana nao tafuta chako kwa jasho mwanaumee!pia mwombe sana Mungu baba,atakusaidia
 
The so called freemasons ni binadam kama wewe, uwezo wao wa kufikiria ni kama wa kwako, tofauti iliyopo ni kwamba wanaamini kile usichoamini and vise versa. We jiulize unataka nini kwenye maisha yako na utakipata vipi kisha fanya maamuzi mwenyewe. Kwamba ujiunge ama la, inategemeana na matakwa yako...
 
Back
Top Bottom