Wamasai Wakisakata Kabumbu....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Sasa hapa ukimchezea faul si unaweza ukapigwa sime?

jk.jpg
 
Najaribu ku imagine hilo vumbi linalotimka hapo maana ruka yao si ya kitoto
 
Ni hatari hii. Maana shuka likimkaba mtu au kukwama mguuni utasikia mtu kavunja mbavu. Nashauri serikali Edward Lowassa awanunulie vifaa vya michezo waondokane na hii hatari. Pia waangalie wanapocheza mpira wakitokea wezi wa mifugo watawaacha kwenye mipira na kuondoka na ng'ombe.
 
hivi sheria za michezo zinaruhusu michezo kwa stail hii ya uvaaji?
halafu kwani hawa huwa wanavaa pichu? sasa inakuwaje si yoyoyo zinapata tabu?
 
Haaahaaa! Siwezi kusogea karibu na hiyo ngoma nikiwa na watoto.

hahahahaaaa Ndahani ni noumer!
lkn siku moja nilipita walikuwa wamekaa wamasai kama watano hivi, nikavuta jicho nione kama ndude zipo nje ama vipi...hee ndani wamevaa kaptura banaa! Nikasema wameniweza maana nilijua ntapiga chabo hapo...........
 
Last edited by a moderator:
Ni hatari hii. Maana shuka likimkaba mtu au kukwama mguuni utasikia mtu kavunja mbavu. Nashauri serikali Edward Lowassa awanunulie vifaa vya michezo waondokane na hii hatari. Pia waangalie wanapocheza mpira wakitokea wezi wa mifugo watawaacha kwenye mipira na kuondoka na ng'ombe.

Nani kakuambia kuwa lowasa ni mmasai?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hahahahaaaa Ndahani ni noumer!
lkn siku moja nilipita walikuwa wamekaa wamasai kama watano hivi, nikavuta jicho nione kama ndude zipo nje ama vipi...hee ndani wamevaa kaptura banaa! Nikasema wameniweza maana nilijua ntapiga chabo hapo...........
Duh! Wewe ni noma.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Boflo, niliwasikia jamaa wamasai wakiitana kwenda kucheza mpira "oyaaaa wewe ole Bujibuji, twende kutachese baba yake kitenesi"
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaa Ndahani ni noumer!
lkn siku moja nilipita walikuwa wamekaa wamasai kama watano hivi, nikavuta jicho nione kama ndude zipo nje ama vipi...hee ndani wamevaa kaptura banaa! Nikasema wameniweza maana nilijua ntapiga chabo hapo...........

Hao ni wa siku hizi wanaovaa kaptura....naona wameona maduka ya nguo yameongezeka labda.
 
Back
Top Bottom