Wamasai na Nguo za Rangi rangi, hivi hawa ndio watunzi wa rangi?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
378023_184444388309522_1259167723_n.jpg
 
Hawajui ku-match rangi , so what the see, they just add up unknowingly.
 
May be ni strategy flan kwenye mazingira wanamoishi, sidhan kama hakuna explanation behind
 
hao si wamasai..jombaa unakurupuka tu kama umekimbizwa toilet...wamasai hawavai nguo wala urembo wa namna hiyo..huwa wanavaa rubega za rangi nyekundu, na wanawake za bluu..umechemka mzee kajipange upya..accessories zenyewe sio hizo..hayo yatakua makabil amengine ama wabarbaig ama makabila ya kule sudan karibia na mto nile...ila sio wamasai..
 
Back
Top Bottom