Wamasaai wauwana kugombea mwanamke wa 'kiswahili'!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Inasikitisha sana lakini ukweli ni kwamba hili limetokea leo mjini dodoma.
Mmaasai mmoja kamuua mwenzake kwa sime. Chanzo cha ugomvi ni ugomvi wa
hao wamaasai wakigombea mwanamke ambaye alikuwa mteja wao lakini
pia kila mtu alikuwa 'akirusha naye
roho' kwa nyakati tofauti.

Mbaya zaidi ni kwamba huyo mwanamke wa kiswahili alikuwa ni
mteja wao wa nywele na kwamba kumbe mdada alikuwa anawatumia kimapenzi ili
awe anasukwa 'bure' na kweli alifanikiwa kwa hilo. Jamaa waliamua kuwekeza kwake
kwa kumsuka bure in return for sex. Sasa ugomvi ulifumuka leo adhuhuri walipogundua
kumbe wote wamepangwa na kila mtu anaona ana haki zaidi kuliko mwenzake

Waliposhindwa kuelewana, basi mmoja akaamua kumfyeka na sime
mwenzake na leo mida ya asubuhi maeno ya Robert Hotel, mnaoijua dodoma nadhani
mnaweza jua eneo hilo.

My take: Wenye wake kuweni macho, wanawake wengine hawaeleweki jamani. Usikute ili ku-reduce cost au
kale kiharufu cha wamaasai kumbe kwa ladies wengine usikute ndo kinawavutia
as if ni perfume wanaishia kutoa mzigo

 
yap me kwe2 dom.dah wamekosea sana aliyestahili kipigo ni huyo dada wala cio wao kutoana ngeu.
 
sio kutoana ngeu ndugu, mmaasai mmoja tayari yuko mortuary ya General Hospital!
 
Hawa jamaa walipata mteremko(kwa sadala)! Hakuna haja ya kumgombania mwanamke.Mtu mwenyewe ndo huyo ana tabia za kimalaya,wangeachana naye!
 
kweli watu wamekosa aibu, yaan anagawa ili asukwe bure, hao jamaa hawakupaswa kuuana wnyewe angemshughulikia huyo mdada kwa sabab ndio mbaya wao, sasa si atakuwa anagawa na gengen kwa muuza nyanya kha, aibu
 
Hawa jamaa walipata mteremko(kwa sadala)! Hakuna haja ya kumgombania mwanamke.Mtu mwenyewe ndo huyo ana tabia za kimalaya,wangeachana naye!

Hahahahaha. Ebwana umenikumbusha nyumbani. Manake mteremko wa kwasadala ulikua maarufu sana pale moshi. Unatokea kwasadala au kirikiri?
 
Hahahahaha. Ebwana umenikumbusha nyumbani. Manake mteremko wa kwasadala ulikua maarufu sana pale moshi. Unatokea kwasadala au kirikiri?

Mnamaanisha pale penye kaburi la wale wachina waloteketea kwa moto au?
 
Imekuwaje waksti masai kushare sex kwao ni kawaida?

Kuna wakati mtu anapewa dozi mpaka anaona bora awe peke yake ili afaidi. Nadhani hii ndo ilowakuta hawa jamaa! Umasaini hakuna mambo ya mitindo kwenye sex. Mwanamke analala chali, anapanua miguu, then analala kama anapasuliwa operesheni. We mwanaume unajihangaikia juu peke yako ukimaliza unainuka biashara imeisha. Sasa hawa wanawake wa kiswahili mzee usifanye mchezo. Unashangaa unaomba maji ya kunywa bila hata kujua chanzo cha hiyo kiu ni nini hasa!
 
Jamani huyu mdada kama ndio tabia yake si keshajitia aibu? na wa hao wamasai nilichoka nao miaka kama mi4 nyuma nilienda kusukwa na wao sasa wakasema bora waje wengi iliwanimalize mapema nikaona afadhali loh mara mwengine nini yake inanigusa mara huyu goti lake liko baribu ya maziwa nilisamehe kusukwa na pesa na ile harufu ndio oooooh unahisi kama uko kwenye zizi looo,mpaka leo sitamani kusuka hata kwamwanamke mwenzangu.
 
wamasai walikuwa hawana wivu akirudi nyumbani akikuta mkuki nje anajua kuna mwenzake ndani sasa kibao kimegeuka watauana sana maana utaratibu huo haukuwepo haswa kwa ha wadada wa kileo. RIP masai
 
Back
Top Bottom