wamarekani weusi mashoga kuoana sasa nje nje!

Duh hii noma!! Kwa hiyo jamaa akitoka hapo anaenda kushindiliwa dudu kama kawa mmh puuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi mtupu. Tatizo upuuzi ukianzia kwa wazungu watu wengi huwa wanauiga blindly. No wonder leo tuna mashoga wengi wa kiafrika. Wameiga kwa wazungu
 
WHAT A WASTE!
Mungu kawaumba vizuri kwa kila namna... wanaume waliokamilika.... wanatafuta nini kujiingiza kwenye machukizo ya kutisha hivi?
Mungu ana subira sana na wanadamu.....

WOS
Mungu ni mwenye Huruma na Rehema.
Inasikitisha sana, Japo kuna wengine ambao wameingia katika hali hii kwa kuonewa lakini pia wengine wamejiingiza wenyewe, Ukweli wanaotia kinyaa ni wanaume ambao wanaendekeza tabia hizi dhidi ya udhaifu wa wanaume wenzao inahuzunisha sana.

Kwa hili binamu nakuunga mkono. Ila mpaka midume inamegana yenyewe kwa yenyewe ni kwa sababu wanawake mmeshindwa kazi.

Aspirin hii si kweli, Ni tamaa zao za mwili na kutokukubali kuwa mwanamke ameumbwa na sifa zote za kumtosheleza mwanaume, na ndio maana hata hao wanaume wengine wanaojigeuza wanalazimika kutengeneza maziwa ili waonekane kuwa kama wanawake, lakini pia wanalazimisha muonekane wao uwe wa kikie, hii ni kwa kuwa wanakubali kuwa mwanamke Ki asili ni HALISI kwa Mwanaume.

Mimi naelewa kuwa ili uume uingie katika tundu lazima usimame vizuri. Kusimama vizuri kwa uume kunasababishwa na hisia(maandalizi kiakili).Kwa asili mume akimwona mwanamke (hasa katika hali ya utupu) ni rahisi kupata msisimko utakaopelekea kusimamisha uume.Sasa kuna kitu huwa sikielewi kwa hawa mashoga anawezaje kusimamisha (stimulate)uume kwa kutazama maumbile ya utupu ya mwanamume mwenzake.Naamini lazima uwe kichaa kulitekeleza hili.

Mwanaume aliye kamili haitaji maandalizi yoyote zaidi ya kuona, Lakini kwa hawa wenzetu wanatawaliwa na mapepo, Kwa akili ya kawaida ni vigumu kuwaka tamaa kwa mwanaume mwenzio, lakini pia mashoga ni watu ambao wanatumia miili yao na tamaa zao kujiridhisha kwa mbinu zoote, ki ukweli ni ukichaa .

wewe nawe haya mambo wengine wanayaanzia udogoni kabla hata hawajaoa...sasa utawaweka kundi lipi?...na wewe mkeo akishindwa hiyo kazi unayoizungumzia ndio utachukua hatua hii?

Ni kweli wengi wanatendwa, na kwasababu tabia hii mtu akishaianza ni vigumu kuiacha, hawa watu hawabadiliki hata kama ni mume wa mtu ndani atashughulikiwa tu.
 
yeeeeeeeeeeeesu yeeeeeeeeeeeeeeeeesu rud baba!!
viumbe vyako twafa.shetani anatumaliza!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom