Wamarekani Wazidi Kuwachafua Waafghanistan:Ghasia Zazuka Baada Kuichoma Moto Qur an.

Junius

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
3,181
139
_46606498_008173384-1.jpg
Protesters burnt an effigy of US President Obama



There have been protests in the Afghan capital, Kabul, over allegations that foreign troops in the country burnt a copy of the Koran. Hundreds of Kabul University students led the latest protest, burning an effigy of US President Barack Obama.
The US-led Nato force has denied the claims, saying it has investigated the incident in Wardak province and found the allegations to be groundless.
The local authorities there have so far supported Nato.
They say they did find evidence that a Koran had been burnt, but blamed drug addicts and said the Taliban may be spreading rumours that foreign troops were responsible to provoke anti-American unrest.

Incendiary effect
On Sunday, a crowd estimated in the high hundreds marched through Kabul - chanting "Death to America" - to protest at the alleged desecration of the Islamic holy book earlier this month.
There were some clashes with security forces, and Afghan police fired in the air to scatter the crowd.
But protesters said they would not give up.
"We are demonstrating because American soldiers burned our holy Koran in Wardak province," said one man. "We will keep going to embarrass the Americans for their actions."
In this very religious country, any allegation like this has an incendiary affect.
Four years ago, almost 20 people were killed after riots erupted in several Afghan cities following a US news magazine report that the Koran had been desecrated by American interrogators at the Guantanamo Bay prison camp.
The magazine later withdrew its report, but by then the damage had been done.
At the time, many believed growing disenchantment among Afghans with the foreign community and its performance had helped fuel the violence.
Four years on, that record is under even greater scrutiny.
SOURCE:BBC WORLD NEWS
 
Kumbe Kolani inachomeka! Zamani zile tulikuwa tunasikiaga eti Kolani haichomeki. Duh, Wamerakani wafanya kufuru hawa.
 
Ndio namna ya kueneza " Ukristo" shame on Christian Invaders and killers...wataaibika na kurudi kwao kwa aibu...kutakuwa hakuna mkristo na nchi wataiacha what a shame?
 
Ndio namna ya kueneza " Ukristo" shame on Christian Invaders and killers...wataaibika na kurudi kwao kwa aibu...kutakuwa hakuna mkristo na nchi wataiacha what a shame?

Hebu nisaidie hapa, hivi Kolani inachomeka?
 
hebu nieleze ndio namna ya kueneza ukristo? mabomu na moto?


Duh, kaazi kweli kweli, sasa hata kujibu kaswali inakuwa jazba mbele! Astakafulahi.

Lamba nirudie swali; Hivi Quran inachomeka?

Picha hapo juu inaonyesha Waislam, nikimaani waarabu wakichoma effigy ya rais wa Marekani. Sasa sijui nani ni mchomaji kutokana na ushaidi wa picha hapo juu.
 
Not condoning the burning of korans or anything but what about the images we see every day of the American flag being burnt? Isn't that also a disrespect to a people? There are people who are proud of their flags the same way they are of their holy books.Just an observation....
 
Hongereni sana wa-Afghans kwa kuichoma hiyo "manual ya mauaji" (Quran tukutu)! Niliwahi kukutana na Mgambia mmoja akaniambia eti hiyo "manual ya mauaji" haichomeki (haiungui), nikamwambia ailete niichome moto kama haitaungua akakataa! Wa-Afghans endeleeni kuzichoma ili kuondoa hiyo dhana kwamba ETI Quran Tukutu, kama ilivyoandikwa na Zayd b. Amr, haziungui!
 
Hongereni sana wa-Afghans kwa kuichoma hiyo "manual ya mauaji" (Quran tukutu)! Niliwahi kukutana na Mgambia mmoja akaniambia eti hiyo "manual ya mauaji" haichomeki (haiungui), nikamwambia ailete niichome moto kama haitaungua akakataa! Wa-Afghans endeleeni kuzichoma ili kuondoa hiyo dhana kwamba ETI Quran Tukutu, kama ilivyoandikwa na Zayd b. Amr, haziungui!

Kuchoma wachome wao wenyewe halafu wanaandamana. Wanatafuta tu sababu ya kuuana, Ama kweli ni "Killing Manual"
 
Kumbe Kolani inachomeka! Zamani zile tulikuwa tunasikiaga eti Kolani haichomeki. Duh, Wamerakani wafanya kufuru hawa.

Qur-ani, yaani maneno ya Mwenyezi Mungu ni ile inayosomwa na kuhifadhiwa na waumini waislamu wakiwemo watoto. Ni ile ile kama ilivyoteremshwa wakati wa Mtume Muhammad (SAW), bila ya change of even a dot. Ni ile ile wanayosoma waislamu wa Afrika, ni ile ile wanayosoma waislmu wa China, ni ile ile wanayosoma waislamu wa Marekani, ni ile ile wanayosoma waislamu wote ulimwenguni bila ya change of a dot.

Mwenyezi Mungu anaihifadhi ndani ya nyoyo za waja wake wema, verbatim na maana, makusudi na maantiki yake. HII HAICHOMEKI LABDA WAULIWE WALE WALIOIHIFADHI. Ama karatasi, mbao au magome ya miti iliyoandikiwa, bila shaka, tena bila ya shaka yanachomeka na huyo aliyekuambia nawe ukawa mpaka leo hujajiambia mwenyewe, eti haichomeki alikudanganya katika mtindo ule ule wa Santa, father X-mas au labda metaphorical meaning yake aliyokusudia ilikuwa hii:

Tofauti na Injili, ambayo ni maneno aliyoshushiwa Nabii Issa na Allah- hayapo tena. Vile vile Biblia, ambayo ni maneno ya waandishi, yanayodaiwa kuwemo ndani yake injili na mwengineo yasiyokuwa injili na hata Jesus hakuyajua wala kuyasema, haya HAYAHIFADHIWI/HAYAKARIRIWI/HAYAKARIRIKI. Na hata hao wanaosema na kudai kwamba wanayaamini hawawezi kuyahifadhi au kuyakariri kama yalivyoshushwa kwa Issa (Jesus). Yanabadilikabadilika kila karne au decades, lugha tofauti zinatumika (transliteration sio translation) ambazo hata Jesus hakuzungumza, versions baada ya versions, alimradi "originality is long gone". HII INACHOMEKA KWA MAANA IMEHIFADHIWA KWENYE MAANDISHI YA KARATASI TU, ONLY BITS AND PIECES KATIKA NYOYO ZA WATU, si Kiingereza, kiswahili au lugh yeyote ile.

UKIAMBIWA KWAMBA QUR-ANI HAICHOMEKI MAANA YAKE NI KWAMBA, KAMA WATU MAADUI WATAZIKUSANYA QUR-ANI ZOTE ULIMWENGUNI, ABSOLUTE ZOTE, NA WAZICHOME, WAZITOSE BAHARINI AU UHARIBIFU WOWOTE ULE, BASI WITHIN MINUTES, NA KATIKA LEVEL YA KITONGOJI TU, KWA MFANO TEMEKE TU, AU ZANZIBAR MJINI TU, AU NEW YORK CITY TU, WAISLAMU WATAITOA KUTOKA MIOYONI MWAO NA KUIANDIKA TENA WITHOUT A CHANGE OF DOT, AND WITHIN MINUTES, THE QUR-AAN WILL BE ALIVE AGAIN. HATA WATOTO WA KIISLAMU WANAYAWEZA HAYA. Mimi wawili kati ya wangu wanne, AlhamduliLlaahi watairudisha walau nusu yake. This is fact.

UNLIKE THE BIBLE, KAMA ZITAKUSANYWA ZOTE ULIMWENGUNI NA KUCHOMWA MOTO, ABSOLUTE ZOTE, Nakupa challenge Max-Shimba na wenzio wote, ULIMWENGU MZIMA WA WAKRISTO AKIWEMO POPE, HATA WAFANJEJE HAWATOWEZA KUIRUDISHA TENA HATA MIAKA. HAKUNA HATA MMOJA ALIYEIHIFADHI. NI MANENO YA KWELI TU YA MWENYEZI MUNGU NDIO HUWEZA KUHIFADHIKA VOLUMES HADI VOLUMES NDANI YA NYOYO HATA ZA WATOTO WADOGO.

AMA KUCHOMA KARATASI, MBAO, MAGOME AMBAYO MAANDISHI MATAKATIFU YA DINI YEYOTE YAMEANDIKWA ni UTOFU WA ADABU, KUKOSA HESHIMA, NA KIBURI NA DHARAU.
WANAOFANYA HIVYO KATIKA UISLAMU ADHABU YAKE NI KALI SANA. NA KAMA WANAOFANYA HIVYO NI MAADUI WAVAMIZI NA WANA NJAMA NYENGINE BASI KUINGIA VITANI DHIDI YAO NI HALALI ILIYO WAZI KABISA.
 
Sasa kama imehifadhiwa kwenye nyoyo za waja wa marehemu Muhammad mbona wanalalamika kwamba karatasi zimechomwa? Kilicho muhimu ni karatasi au iliyohifadhiwa kwenye nyoyo, kama kweli imehifadhiwa?
 
Sasa kama imehifadhiwa kwenye nyoyo za waja wa marehemu Muhammad mbona wanalalamika kwamba karatasi zimechomwa? Kilicho muhimu ni karatasi au iliyohifadhiwa kwenye nyoyo, kama kweli imehifadhiwa?

dah no comment, mambo magum
 
kitabu nimenunua kwa pesa yangu..kwani kuna tatizo hapo nikiamua kukichoma?..au mi sijaelewa vizuri hapo..kama ni cha mtu mwingine nadhan ndiyo kwe tatizo hapo.
 
Kilichotokea baada ya hapo.
Fourteen Americans dead as helicopters crash in Afghan raids.

Fourteen Americans have died in Afghanistan in a bloody night for the US, when one helicopter came down under heavy fire and two more collided in mid air.
Seven soldiers and three civilians were killed in the first incident, moments after their helicopter took off after extracting soldiers from a daring raid against one of the region's most wanted drugs smugglers.
A military spokesman confirmed that the US civilians were with "other government agencies".
Elite US troops had launched a pre-dawn, airborne assault against a compound in western Afghanistan, believed to harbour insurgents linked to the multi-billion dollar opium trade.
During the operation, insurgent forces engaged the joint force and more than a dozen enemy fighters were killed in the ensuing fire fight," a military spokesman said.
"As the joint force was departing the area, one helicopter went down due to unconfirmed reasons. Military casualties are reported and a recovery operation is under way."
A further 26 people, mainly Afghan and US troops, were injured in the crash. Rescue operations have been launched, and details of the units and the types of helicopters involved have been withheld until they are complete.
Senior Afghan generals said that special forces were involved in the raid, in Darpum district of Badghis province in western Afghanistan.
A spokesman for the Taleban claimed responsibility. Qari Yousuf Ahmadi said: "There was fighting in the bazaar between foreign troops and the Taleban. During the fighting the Taleban shot down a foreign helicopter."
But Nato’s International Security Assistance Force (ISAF) said in a statement that the reasons for the crash were still being investigated, and added: "The cause is not believed to be from enemy action."
"Seven US service members and three US civilians were killed," the ISAF statement said.
"Those injured include 14 Afghan service members, 11 US service members and one US civilian."
Meanwhile four US troops died and two were injured in a mid-air heliopter collision in the south of the country.
Col Wayne Shanks, a US military spokesman, said that the military had ruled out hostile fire. He said the injured had been evacuated to hospitals inside Afghanistan.
2009 has been the deadliest year for international forces since the 2001 invasion. The death toll was highest around the presidential vote in August, when 51 US soldiers died.
With more than 30 American troops killed so far in October, this morning's deaths bring the toll to in excess of 44.
Both southern and western Afghanistan have seen a surge of US troops.

SOURCE:THE TIMES
 
Kumbe Kolani inachomeka! Zamani zile tulikuwa tunasikiaga eti Kolani haichomeki. Duh, Wamerakani wafanya kufuru hawa.
Qur an haichomeki...nasisitiza tena sijakosea...Qur an haichomeki.
Namaanisha hivi...ni kitabu pekee ambacho kinaweza kuhifadhiwa si katika HD tu, bali hata katika moyo wa binadamu...sasa utakichoma vipi...ndugu kitabu si karatasi bali contents...ukisikia mtu kavunja katiba...haina maana karatasi na gamba...bali violation of the stipulated contents...leo hii hata kama watachoma moto karatasi zote zenye kitabu cha Qur an(sijakosea) hawataweza kuifuta wala kuiondoa...nipo Misri hapa kwa wiki mbili, nimemkuta mtoto wa miaka sita tu, naasema kwa nambari miaka 6 tu, amehifadhi juzuu thelathini (30), na anasoma bila ya kigugumizi...na hata shule ya msingi hajaanza huyu...ukichoma karatasi mtoto kama huyu au kama hawa wapo wengi utamuathiri nini?
Qur an haichomeki Max.
 
Not condoning the burning of korans or anything but what about the images we see every day of the American flag being burnt? Isn't that also a disrespect to a people? There are people who are proud of their flags the same way they are of their holy books.Just an observation....
Mkuu kitabu kitakatifu na bendera wapi na wapi...plz be a man of your sense
 
Morale dips for American marines in Afghanistan

In a remote part of Helmand troops are dismayed by the ambivalence of locals and a sense that the Taliban can outlast them.
A mile from South Station, an outpost of US marines in Helmand province, the tribal chief was openly hostile. "The Americans threaten our economy and take our land for bases. They promise much and deliver nothing," he said.
"People here regard the American troops as occupiers," said Haji Khan, a leader of the Baluch tribe, who rules like a medieval baron. "Young people are turning against them and in time will fight them."
Inside South Station, soldiers are proud of the progress they have made. Until they arrived, this remote part of Helmand had not had a government presence for years. But many are pessimistic about where the conflict is heading.
"I'm not much for this war. I'm not sure it's worth all those lives lost," said Sergeant Christian Richardson as we walked across corn fields that will soon be ploughed up to plant a spring crop of opium poppy.
A New Yorker who joined the marines after 9/11 and served two tours in Iraq, Richardson, 24, said his men had achieved much. "You can see we are making progress, slowly. But when we leave, the Taliban and Al-Qaeda will surely return."
With enough effort, resources and time, the marines are confident the population can be won over. But, with the platoon's influence limited to a small area around their base, many soldiers wonder if the Taliban and Al-Qaeda may simply outlast them, or if the US and Afghan governments have the resolve to send enough troops to win.
Third Platoon, Charlie Company of the 2nd Light Armoured Reconnaissance Battalion, came last July to Khan Neshin, as far south as Nato soldiers have reached in Afghanistan. It was part of a summer offensive by more than 4,500 troops of the Marine Expeditionary Brigade, which has joined British and other forces trying to turn the war in Helmand.
Although they have read the manuals on counterinsurgency and heard generals speak about how to defeat the Taliban, the reality has been bloody, painful and frustrating.
The platoon knows there are at least 20 booby-trapped bombs on the high ground around the base. More than half the men have already been caught in blasts. One marine explosive expert was killed; others suffered broken legs and amputated feet. Three have survived two explosions and come back to fight again.
General Stanley McChrystal, the US and Nato commander in Afghanistan, says the mission is to protect the population and isolate them from the Taliban, but the marines are finding it no easier to defeat the Taliban than it has been for the British, who have fought in the province for three years. Villagers are rarely willing to express a simple opinion, let alone inform soldiers where the enemy is hiding. One marine described the way the Taliban blended with the population as "unbelievably frustrating".
In terrain crisscrossed by canals with weak and narrow bridges, the platoon has to approach villages on foot. Even when they have surrounded the Taliban, the marines have found the enemy has an uncanny ability to slip away in the ditches. All this adds to the strain of facing improvised explosive devices, which are the main threat.
"We are all brothers here," said Lance-Corporal Corey Hopkins, 22, from Georgia. "And it hurts to see your brother hurt or put him in a bag for the last time. It pisses you off. It makes you mad. You know people out here know what's going on, but they won't tell you."
Corporal Gregory Williams, 22, from North Carolina, said: "It's going to take a lot of proving out here to make them talk to us. It's working so slowly." The marines are trying to implement a strategy dictated from Washington that bids them separate the population from the insurgents. But attempting that means a battle not only against the Taliban but against a feudal system that places real power in the hands of landowners such as Haji Khan.
When we talked to the grey-bearded men in the village, in the shade of one-room mosques, most appeared friendly. Asked if they wanted a school or more doctors, all said such questions were a matter for those who own the fields.
The marines hope to open a school and provide medical facilities. They are also offering to pay Khan and others to provide jobs to improve the canal system.
At a shura, or village meeting, at South Station last Friday, Khan showed up with 40 elders and heard Captain Chris Conner, commander of Charlie Company, promise development. "From the bottom of my heart, I want to say that we are here to help you," he said.
The villagers welcomed the canal scheme and the idea of making use of a doctor at the base. But Khan and another landowner rejected the idea of a school. "Security is still too bad. We've seen how they are burnt down [by the Taliban] elsewhere."
Some marines were unconvinced about paying money for the canal to a tribal leader and drug baron who gave them almost no help and would probably keep the cash.
Later, a marine intelligence officer said the drug economy and the feudal system made the strategy of winning hearts and minds extremely complex. As drug producers, men such as Khan had a "working relationship with the Taliban".
Nobody knew of the announcement last week in Kabul of a new round of national elections. Nobody voted in the first round. "We never even heard of elections. If we had, I suppose we might have voted," said one villager.
SOURCE:THE TIMES
 
Qur an haichomeki...nasisitiza tena sijakosea...Qur an haichomeki.
Namaanisha hivi...ni kitabu pekee ambacho kinaweza kuhifadhiwa si katika HD tu, bali hata katika moyo wa binadamu...sasa utakichoma vipi...ndugu kitabu si karatasi bali contents...ukisikia mtu kavunja katiba...haina maana karatasi na gamba...bali violation of the stipulated contents...leo hii hata kama watachoma moto karatasi zote zenye kitabu cha Qur an(sijakosea) hawataweza kuifuta wala kuiondoa...nipo Misri hapa kwa wiki mbili, nimemkuta mtoto wa miaka sita tu, naasema kwa nambari miaka 6 tu, amehifadhi juzuu thelathini (30), na anasoma bila ya kigugumizi...na hata shule ya msingi hajaanza huyu...ukichoma karatasi mtoto kama huyu au kama hawa wapo wengi utamuathiri nini?
Qur an haichomeki Max.

_46606498_008173384-1.jpg
Protesters burnt an effigy of US President Obama



There have been protests in the Afghan capital, Kabul, over allegations that foreign troops in the country burnt a copy of the Koran.

Incendiary effect
On Sunday, a crowd estimated in the high hundreds marched through Kabul - chanting "Death to America" - to protest at the alleged desecration of the Islamic holy book earlier this month.
There were some clashes with security forces, and Afghan police fired in the air to scatter the crowd.

Sasa huku kupigana kwa sababu ya madai ya kuwa Koran imechomwa ni ya nini?
 
Back
Top Bottom