viongozi wa nchi zote za kiafrika nchi zimewashinda. Karibuni sana America huku Africa kwani baada ya miaka 50 ya uhuru hakuna kitu zaidi ya rushwa, umaskini, ufisadi na maradhi. Karibuni sana.
God bless America
Umeshasikia kitu kinaitwa Occupy Wall Street? Wanasema wao ni 99% na they want their country and gvt back.
Mkuu, unaelewa hali ya uchumi wa US kwa sasa. idadi ya wasio na kazi, idadi ya wanaopoteza nyumba na makaazi yao kwa kushindwa kulipa mikopo ya benki, wanafunzi waliofukarika kwa mikopo ya kujisomesha, hapo hujataja gharama za health insurance, health bills.
Ubepari kama unavyoendeshwa Ulaya na US umeshajidhihirisha kuwa si kwa manufaa ya wananchi walio wengi bali a clique of 1%. Wengine ni "watumwa" tu.