Wamarekani wanajivunia land mark kwao, je rock city yetu?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
the-wave.jpg

The Wave, Coyote Buttes, AZ

Set in the remote Paria Canyon-Vermilion Cliffs Wilderness in northern Arizona, this dazzling rock formation, which looks like a cresting wave frozen in time, isn’t easy to access: you’ll need a permit from the Bureau of Land Management, which allows only 20 people per day to visit the delicate landform. But getting to see this fiery swirl of Jurassic-age sandstone, carved by the wind more than 190 million years ago, is well worth a little advance planning.
How to See It: From the Wire Pass Trailhead, it’s a three-mile hike out to the Wave over sandy terrain. Summer temperatures soar to more than 100 degrees, so bring plenty of water.

Tanzania tuna land marks nzuri na zenye mvuto usiokifani. Kando ya reli ya kati karibu na jiji la Mwanza miamba yenye mvuto wa pekee kabisa ni ushahidi tosha kuwa mvoto pekee wa kujivunia. Bonde la ufa na maziwa yake yanatoa madhari ya pekee. tunahitaji watu kujitolea kukusanya taswira hizi kuitangaza nchi yetu.
 
Land mark nzuri kama hizi tunazo sana tu Tanzania, ila watu wetu wanapenda kuonyesha majengo ambayo tunayaona kila siku, lakini hazina kama hizi zilizofichika tunahitaji kuzifichua ziwe vivutio kwa waosha macho.
 
Back
Top Bottom