Wamarekani na Watanzania

Bubu, Asante kwa kuwaelimisha watu humu.
Wanaosema Mwalimu alifanyamakosa kwa kufuata siasa ya ujamaa ni 'wavivu wa kufikiri'! Siku zote mie huwaambia bila siasa za Mwalimu Nyerere wengi leo wasingelikuwa huko waliko na wasingelikuwa wanatamba kwenye internet badala yake wangelikuwa vijijini wakichunga mbuzi na ng'ombe! Washukuru elimu ya bure waliyopewa baba, mama, shangazi, wajomba zao n.k. iliyotokana na siasa za Mwalimu Nyerere. Leo hii watu bado tunatembea barabarani bila hofu kwa kuwa bado kuna ile chembe ya 'udugu' uliotokana na siasa za Ujamaa.

Ahsante sana Bibi Ntilie, Mwalimu kafanya mengi sana lakini watu wanataka kukumbuka yale mabaya tu ambayo mengi yalikuwa nje ya uwezo wake. Tulipiga hatua kubwa kimaendeleo wakati wa Mwalimu kuliko kipindi kingine chochote cha uhuru wetu wa miaka 47 hasa ukitilia maanani tulikuwa hatuna hata chuo chochote wala kiwanda. Siku zote tutamtetea kwamba alikuwa ni kiongozi mzuri pamoja na kuwa tulimpa majina mengi kama ya Mussa, Mchonga, Mzee haambiliki n.k. lakini alikuwa na mapenzi ya kweli na nchi yetu na maamuzi mengi aliyoyafanya yalilenga katima maslahi ya Watanzania. Hakuwa mroho wa utajiri, mwizi au fisadi ukilinganisha na wale waliokuja baada yake. Na hata wenzetu wa nchi nyingine za Afrika wakijua unatoka Tanzania wengi watakuuliza kuhusu Mwalimu na kuanza kummwagia sifa tele. Hakuwa perfect lakini lazima ukweli usemwe kwamba alifanya kazi nzuri sana na matunda yake yamesambaa karibu kila kona ya dunia.
 
Kama sera zao ni mbaya hivyo basi tuache kuwababaikia, tuache kuja kusoma na kulowea Marekani. Tuachane na kila kitu cha Wamarekani. Tusipokee misaada yao. Tufunge ubalozi wetu pale DC na wao wafunge wa kwao pale Dar. Tuvunje mahusiano yote na Marekani .....

I see that the query is leading towards a self examination, but at the same time one can counter argue that diplomacy is seldom a game of all or nothing at all.
 
Ahsante sana Bibi Ntilie, Mwalimu kafanya mengi sana lakini watu wanataka kukumbuka yale mabaya tu ambayo mengi yalikuwa nje ya uwezo wake. Tulipiga hatua kubwa kimaendeleo wakati wa Mwalimu kuliko kipindi kingine chochote cha uhuru wetu wa miaka 47 hasa ukitilia maanani tulikuwa hatuna hata chuo chochote wala kiwanda. Siku zote tutamtetea kwamba alikuwa ni kiongozi mzuri pamoja na kuwa tulimpa majina mengi kama ya Mussa, Mchonga, Mzee haambiliki n.k. lakini alikuwa na mapenzi ya kweli na nchi yetu na maamuzi mengi aliyoyafanya yalilenga katima maslahi ya Watanzania. Hakuwa mroho wa utajiri, mwizi au fisadi ukilinganisha na wale waliokuja baada yake. Na hata wenzetu wa nchi nyingine za Afrika wakijua unatoka Tanzania wengi watakuuliza kuhusu Mwalimu na kuanza kummwagia sifa tele. Hakuwa perfect lakini lazima ukweli usemwe kwamba alifanya kazi nzuri sana na matunda yake yamesambaa karibu kila kona ya dunia.

Wengine watasema "Mwalimu kafanya mengi lakini wanataka kukumbuka mazuri tu"

Too much of anything, even the much needed oxygen, is harmful. Lets maintain equanimity in all our ways.

Nyerere alitaka kuonekana kwamba hakuwa against watu, bali ideas.Jack Kennedy na Jimmy Carter walikuwa marafiki wakubwa wa Nyerere, hawakuwa wamarekani hawa?

Tunapo wa castigate wamarekani hivi tunawaongelea Wamarekani wepi? Watoto underprivileged/ hoodlums wa projects za Baltimore, ma conservative bankers wa Wall St, ma liberal filmmakers wa Hollywod, wakulima wa mahindi wa Iowa, Hispanic Americans wa California, first generation Americans fresh off the boat, Puritans wa New England with lineage back to Plymouth rock, never mind Titanic, seniors wa Florida, Native Americans wa Nevada, Mormons wa Utah, Amish wa Pensylvania au Cajun wa New Orleans, just to name a few?

Wote hawa tofauti na hamna kitu kama "Mmarekani". Ni illusion iliyotengenezwa na wanasiasa ili kupata kura.
 
Kama sera zao ni mbaya hivyo basi tuache kuwababaikia, tuache kuja kusoma na kulowea Marekani. Tuachane na kila kitu cha Wamarekani. Tusipokee misaada yao. Tufunge ubalozi wetu pale DC na wao wafunge wa kwao pale Dar. Tuvunje mahusiano yote na Marekani .....

.....Ngabu wasikutishe wewe jitahidi tuu na hivyo vibox vyako na folklift!
 
Wengine watasema "Mwalimu kafanya mengi lakini wanataka kukumbuka mazuri tu"

Too much of anything, even the much needed oxygen, is harmful. Lets maintain equanimity in all our ways.

Nyerere alitaka kuonekana kwamba hakuwa against watu, bali ideas.Jack Kennedy na Jimmy Carter walikuwa marafiki wakubwa wa Nyerere, hawakuwa wamarekani hawa?

Tunapo wa castigate wamarekani hivi tunawaongelea Wamarekani wepi? Watoto underprivileged/ hoodlums wa projects za Baltimore, ma conservative bankers wa Wall St, ma liberal filmmakers wa Hollywod, wakulima wa mahindi wa Iowa, Hispanic Americans wa California, first generation Americans fresh off the boat, Puritans wa New England with lineage back to Plymouth rock, never mind Titanic, seniors wa Florida, Native Americans wa Nevada, Mormons wa Utah, Amish wa Pensylvania au Cajun wa New Orleans, just to name a few?

Wote hawa tofauti na hamna kitu kama "Mmarekani". Ni illusion iliyotengenezwa na wanasiasa ili kupata kura.

Tunapozungumzia Watanzania huwa tunazungumzia Watanzania wepi?
 
How is it leading to self examination?

It is Socratic in essence, makes one realize the folly of hypocrisy. Kwa kumuambia mtu aliye Marekani "put up, shut up or leave" umempa option ya kuondoka, most people wanagwaya na kubaki kuikandia marekani from within, tryina bite the hand that feed them.

The self examination is due to the fact that it is easy to criticize America, but questions such as "If America is that bad, why are you here?" will force one to realize the weakness of one's argument.

America is not where it's ideals aspire it to be, but that is better than living in a country with no ideals at all.
 
Tunapozungumzia Watanzania huwa tunazungumzia Watanzania wepi?

Same shyt, different toilet.

Hamna "Watanzania" kuna "Wanafunzi wa Mirambo Sekondari" "WQafanyakazi wa Kampuni ya Reli" "Wakuu wa Mikoa" etc etc.

Watanzania as an entity are capable of having very little in common to make the set meaningless. The nation-state idea, since and as defined in the 1648 Westphalia Conference, has been one of the most successful tool of oppression, division and subjugation known to man.Second only to religion I dare say.

Sasa Mmasai wa Tanzania na wa Kenya, na mmakonde wa Tanzania na wa Msumbiji are falling under different nations, while Mmasai huyu wa Tanzania na Mmakonde huyu wa Tanzania are both Tanzanians, with nothing in common in the ways of heritage, language, culture etc.

Leo mtu akizaliwa Tanzania ni lazima awe raia wa Tanzania by default, hata kama hataki. Na kama asipotaka kuwa raia wa Tanzania anaweza kufukuzwa na kuwa stateless, kama vile hii serikali ina own land and air!

It is a manufactured illusion, nothing real.
 
It is Socratic in essence, makes one realize the folly of hypocrisy. Kwa kumuambia mtu aliye Marekani "put up, shut up or leave" umempa option ya kuondoka, most people wanagwaya na kubaki kuikandia marekani from within, tryina bite the hand that feed them.

The self examination is due to the fact that it is easy to criticize America, but questions such as "If America is that bad, why are you here?" will force one to realize the weakness of one's argument.

America is not where it's ideals aspire it to be, but that is better than living in a country with no ideals at all.

So were you (in a way) seconding my post? Sometimes it's hard to understand you coz it seems/ comes across like you speak (write) in parrables so I had to make sure you weren't taking pot shots at yours truly....
 
Same shyt, different toilet.

Hamna "Watanzania" kuna "Wanafunzi wa Mirambo Sekondari" "WQafanyakazi wa Kampuni ya Reli" "Wakuu wa Mikoa" etc etc.

Watanzania as an entity are capable of having very little in common to make the set meaningless. The nation-state idea, since and as defined in the 1648 Westphalia Conference, has been one of the most successful tool of oppression, division and subjugation known to man.Second only to religion I dare say.

Sasa Mmasai wa Tanzania na wa Kenya, na mmakonde wa Tanzania na wa Msumbiji are falling under different nations, while Mmasai huyu wa Tanzania na Mmakonde huyu wa Tanzania are both Tanzanians, with nothing in common in the ways of heritage, language, culture etc.

Leo mtu akizaliwa Tanzania ni lazima awe raia wa Tanzania by default, hata kama hataki. Na kama asipotaka kuwa raia wa Tanzania anaweza kufukuzwa na kuwa stateless, kama vile hii serikali ina own land and air!

It is a manufactured illusion, nothing real.

What about Germans? They all speak German.....
 
So were you (in a way) seconding my post? Sometimes it's hard to understand you coz it seems/ comes across like you speak (write) in parrables so I had to make sure you weren't taking pot shots at yours truly....

I was endorsing your versification of the folly of unrealistic, almost fashionable, anti-Americanism.

To put a stop to further confusion, I was seconding your train of thought.
 
....u know nilikuwa Middle east & European tour...very very busy!

If I may digress, inakuwaje Barack of Obama the Messiah hajapata bounce yoyote? Halafu ana trail among "likely" voters kwenye Gallup poll iliyotolewa jana/ juzi....how come?
 
What about Germans? They all speak German.....

There are Turkish Germans, Tanzanian Germans, Bavarians, Saxons, Ruhrs, Austrian-Germans etc etc

The bottom line is, unless you live in Vatican City (even there the picture is not so homogenous) the nation state idea of an unit entity is an illusion.

Kwa nini unafikiri Wazanzibari wanataka kujitenga? Na bado watajitenga Wapemba na Waunguja pia, it is all a big illusion kwamba tuko pamoja wakati kuna watu wana mansions Coco Beach kama wako Malibu na wengine wanakaa kwenye mbavu za mbwa zisizoweza kustahimili manyunyu.Si watu wamoja sisi, wao wale na wengine wewote,
 
If I may digress, inakuwaje Barack of Obama the Messiah hajapata bounce yoyote? Halafu ana trail among "likely" voters kwenye Gallup poll iliyotolewa jana/ juzi....how come?

....bounce? sijui unataka bounce ya namna gani...jana bother brother hannity kashikilia hiyo poll ya likely voters ikabidi wamkumbushe the same pollister obama yuko mbele 8% hapo anasemaje,basi kabaki troops troops Germany Germany...mmekwisha nyie na ideology zenu!
 
Ni kweli kuna mengi mazuri ambayo Mwalimu Nyerere alifanya lakini kwenye hizi sera zake za uchumi wa kijamaa alichemsha vibaya sana. Kuna mtu anasema hivi sasa watu wengi wako nchi mbalimbali kutokana na sera za kijamaa, wakati wa Mwalimu Nyerere kuipata pasipoti tu ilikuwa mbinde, watu walikuwa hawasafiri mpaka Ikulu itoe ridhaa, Nadhani Nyerere angekuwa bado ni kiongozi na zile sera zake za kuwabana Watanzania asilimia kubwa ya wabongo wangekuwa bado wako nyumbani wakipanga foleni kununua kilo moja ya sukari na unga. Hapana siukubali ujamaa hata kidogo ni bora tuendeelee na huu ubepari au hata semi-ubepari.
 
Obama alivyokuwa diva sasa hivi ilibidi awe mbele zaidi ya pointi kumi.....

Halafu kumbe unamwangaliaga Hannity eeeh? Kujishebedua tu hapa kumbe unamzimia....bwahahahahahaha
 
Ni kweli kuna mengi mazuri ambayo Mwalimu Nyerere alifanya lakini kwenye hizi sera zake za uchumi wa kijamaa alichemsha vibaya sana. Kuna mtu anasema hivi sasa watu wengi wako nchi mbalimbali kutokana na sera za kijamaa, wakati wa Mwalimu Nyerere kuipata pasipoti tu ilikuwa mbinde, watu walikuwa hawasafiri mpaka Ikulu itoe ridhaa, Nadhani Nyerere angekuwa bado ni kiongozi na zile sera zake za kuwabana Watanzania asilimia kubwa ya wabongo wangekuwa bado wako nyumbani wakipanga foleni kununua kilo moja ya sukari na unga. Hapana siukubali ujamaa hata kidogo ni bora tuendeelee na huu ubepari au hata semi-ubepari.

Unajua kuna watu naona propaganda za Socialism na Ujamaa zimewaingia vizuri, watu wanaitaji de-briefing, Wanasahau just how much freedom ujamaa took away from one. How it rendered its citizens obselete of thought and action they forget this freedom they enjoy to comment openly for or against communism would not be theres if we were still in the Ujamaa era. Sasa nikiwa na TV mbili kunatatizo gani, kwani nimemwibia mtu????
 
Back
Top Bottom