mwalimu Jr.
Member
- Aug 20, 2008
- 51
- 4
NINAVYOJUA mimi kuna nchi ambazo zinaisadia Tanzania mabilioni mara 2 au zaidi kuliko Marekani[/B].
Kisa cha jamaa hawa kupigiwa ngoma yenye sauti kubwa kupita kiasi katika awamu ya nne mimi bado kwangu ni kitendawili?
Hivi kweli wakati mtu aliyechanganyikiwa kama Mugabe anaweza akashauri TUANGALIE MASHARIKI sIo MAGHARIBI tena anaweza akazuka mtu mwenye akili timamu na kung'ang'ania nchi hii kuelekea Magharibi tu.
Hebu mmoja wenu anipe idadi na gharama za miradi ya msaada kwa Tanzania na nchi zifuatazo toka mwaka 1970 hadi 2005:
1. Uchina
2. Ujerumani
3. India
4. Ireland#
5. Norway
6. Sweden
7. Netherlands
8. Denmark
9. UK
10. Japan
11. Canada
12. Marekani
ili tukokotoe na tuone anayestahili kupewa heshima zaidi na Tanzania ni nchi ipi.
Kisha tufanye upembuzi ni mradi upi wenye nia ya kweli ya kuwatoa Watanzania kwenye lindi la umasikini wanakoogelea.
Kwa maoni yangu mimi nadhani yalikuwa ni makosa kuanza urafiki mkubwa na Republicans wakati wa utawala wao na itakuwa ni balaa zaidi kama McCain atakuwa Rais huko ingawa vyombo vyetu vya habari vya umma vimeanza kupigia Republicans debe! Poleni sana!
Marekani wamefufua urafiki na sisi kwa kurejesha misaada aliyotuahidi Joe Kennedy kwenye miaka ya 60 si kwa sababu nyingine ila kwa kuogopa kuwa tutakuwa marafiki zaidi na Wachina asipofanya hivyo. Sawa, sasa kwani tuolewe kabisa na Mmarekani na sisi tunaweza kuwachanganya mabwana wote hapo juu tukala kwa ulaini na bila kujasimangwa na kuadhiriwa kama ilivyofanya Iraq, Panama, El Salvador, Chile, Pakistan na kadhalika!