Wamama mna mambo

ila kumbe huwa wanakuwa hivi hata wakiingia ndani ya nyumba yako!mbona balaa!duh
 
Yaani wewe huyo mchawi kukamatwa haijakustua, kilichokustua ni wamama kuwa wengi. Lol!
 
Dena na mimi tumeona wanaume wapo na si mmoja kama unavyosema hata hivyo hakuna ubaya kwa wanawake kumangalia rubani aliyeanguka
 
...Inasikitisha sana. Imani potofu kuanzia watumiaji mpaka washangiliaji.
Ujinga huu unaendekezwa sana miaka hii kwenye makanisa ya 'manabii'

Disgusting!
 
Sasa nyie mnataka wamama wavutie wamama wenzao?Hiyo haitakuwa kawaida kiasili.
 
Hee we Ivuga angekuwa mdada na nyie wakaka mngejaa:nerd::nerd:

kama mimi binafsi ningevua shati langu na kumfunika nalo.sasa nyie kwa nini hamjafanya hivyo wakati wengi wenu hapao mmevaa kanga? mnataka kuona nini hapao?hahah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom