Wamalawi Waliopo TANZANIA

I don't give a sh**^^&&% we are all african and I'm proud to be african .....I mean Black african.
hii mipaka imewekwa na wakoloni lakini sisi ni DUGU moja ni vile waliweka mipaka kutugawanya.
I love u MAMA AFRICA.

Agreed mkuu... ni basi tu nadhani i took a swipe at the muanzisha thread. kiukweli ukiangalia historia zetu wengi humu, kuna ka-element ka nje ya Tz
 
msianze kubaguana bila sababu.

Mimi mmoja kati ya hiyo list nimesoma naye UDSM hakuwa kichwa kabisa darasani ila alikuwa ni nadhwifu sana. Yeye anatoka kule Litui Mbambabay mpakani na malawi. kabila yake mnyasa.
 
Kuna rafiki yangu mmoja Mmalawi anafundisha chuo kikuu kimoja hapa Dar aliwahi kunieleza kuwa kwa viwango vya wanafunzi wa bongo anawaofundisha (chuoni) wengi wao wana viwango sawa na watoto wa shule za upili( sekondari) za kwao. Nilibisha sana, basi akaniamwambia wamalawi eti ni vichwa sana akanipa mifano kadhaa ya wamalawi waliopo hapa TZ ambao ni vichwa(na kweli hao watu ni vichwa sana). Aliowataja ni hawa hapa sasa sijua kama ni kweli

1. Profesa Mathew Luhanga

2. Profesa Nkoma wa TCRA

3. Profesa Msambichaka (wote wawili)

4. Marehemu Austin Shaba

5. Maremu Kambona

6. Marehemu Nyirenda wa Uhuru Torch Kilimanjaro

7. Kasesera wa mpira wa kikapu

8. Msowayas

9.Kasambalas

10. Chiume

11. Lifa Chipaka

12.
Most of these guys in the list have contributed positively to our country. I dont think it could be wise to begin looking at them as not Tanzanians. By the way, all our borders have a common problem of relatives living in other countries.
Kwakuwa hawa ni watanzania, sioni busara kuanza kunyoosheana vidole ati tu kwasababu baba au babu zao walitokea Nyasa. Historia itatuhukumu maana hata Ivory Coast walipoanza campaign za aina hiyo wakajikuta nchi imegawanyika mara mbili bila sababu za maana.
Na ukitaka kujua ugumu wa suala la watu wanaotoka mipakani, jaribu kufanya tafiti uone jinsi kulivyo ma muingiliano.
Naona kama tufikirie mambo ya kutuunganisha zaidi kuliko haya ya kutusambaratisha.
 
Hamjawahi kusikia kuwa babu yake Baraka Obama alitokea RORYA Kwa wakina Sarungi Tanzania?
 
Suala la watu wa mipakani nchi inayo enjoy ni Lesotho peke yake kwa vile imepakana na SA pekee.Sisi tuna KENYA,UGANDA,RWANDA,BURUNDI,DR CONGO,ZAMBIA,MALAWI,MOZAMBIQUE na.....(ZANZIBAR).Sasa kila nchi mojawapo hapo in elements wake Tanzania.Tukianza kubagua hakutatusaidia.Kumbukeni hawa viongozi wa juu wa zamani KAMBONA(MALAWI)MUNGAI(KENYA)KIWANUKA(UGANDA) etc
 
ukianza kuchambua utakuta hakuna mzaliwa halisi wa hapa tanzania zaidi ya wagogo tu!.
 
Na cha kustaajabisha ni kuwa wakati we are so sensitive with where some of the people come from, America, Europe and other developed countries invite them, especially the highly trained ones to go and work there. Unafikiria mtu kama Prof Luhanga au Nkomo wasingeliweza kukimbia kama si mapenzi yao kwa nchi hii?
 
nah hawaandiki namna hiyo ila huyu jamaa aliyeandika hivyo ni patriot hasa wa kiswahili ndio maan anaamua kuandika inglish katika mfumo wa kiswahili.. yaani kwa kifupi ni hao u raiti is hao rid...
 
Kama mnasema hayo sasa wamarekani watajiita wanatokea wapi?? Ubaguzi unaoanzishwa na malawi tunaujua lakini cha msing ni kwamba wakizidisha ujinga tutawachapa bakora......bado hawajamsahau mwl. JK Nyerere.
 
Hiyo list ni ya Wanyasa wa wilaya ya Ludewa, Mbambabay, Ileje, Njombe na nyingine zinazopakana na Malawi, hivyo msiwabague kwa majina yao, kila mpakani kuna watu wamezaliana au kuhamia tu kutoka nje ya Tanzania.
 
Wamalawi ni waaminifu sana.
na wanajua kujipendekeza kwa mabosi,da nakumbuka kipindi fulani niliajiriwa na hawa jamaa pahali jamaa alipelekwa pale na mama yake basi jinsi alivyokuwa anajipendekeza kwa bosi mpaka bosi akawa kama baba yake,teh teh mshkaji ikawa ukifanya kosa kidogo anakutisha ´´ntakusemea kwa baba`´.ndo nikajua wanyasa ni soo.
 
Reaching back about 10,000 years, Tanzania is believed to have been populated by hunter-gatherer communities, probably Khoisan speaking people. About 2000 years ago, Bantu-speaking people began to arrive from western Africa in a series of migrations. Later, Nilotic pastoralists arrived, and continued to immigrate into the area through to the 18th century.[9] Travellers and merchants from the Persian Gulf and Western India have visited the East African coast since early in the first millennium CE. Islam was practised on the Swahili coast as early as the eighth or ninth century CE.[10] Claiming the coastal strip, Omani Sultan Seyyid Said moved his capital to Zanzibar City in 1840. During this time, Zanzibar became the center for the Arab slave trade.[11] Between 65% to 90% of the population of Arab-Swahili Zanzibar was enslaved.[12] One of the most famous slave traders on the East African coast was Tippu Tip, who was himself the grandson of an enslaved African. The Nyamwezi slave traders operated under the leadership of Msiri and Mirambo.[13]
 
During World War I, an invasion attempt by the British was thwarted by German General Paul von Lettow-Vorbeck, who then mounted a drawn out guerrilla warfare campaign against the British. Formerly a German colony from the 1880s through 1919, the post-World War I accords and the League of Nations charter designated the area a British Mandate (except for a small area in the northwest, which was ceded to Belgium and later became Rwanda and Burundi).
 
msianze kubaguana bila sababu.

Mimi mmoja kati ya hiyo list nimesoma naye UDSM hakuwa kichwa kabisa darasani ila alikuwa ni nadhwifu sana. Yeye anatoka kule Litui Mbambabay mpakani na malawi. kabila yake mnyasa.[/QUOTE

BaruBaru,
Inaonyesha uwezo wako upstairs ni mzuri sana, maan wee ndio umejibu kulingana na vile ambavyo nilihitaji kusaidiwa. Maana lengo langu halikuwa kuwabagua bali nilikuwa naeleza jinsi huyo Mmalawi alivyokuwa anjijifagilia kuwa wao ni vichwa hata akanitajia majina ya hao watu. Sasa wewe angalau umekanusha kuwa one of them in the list sio kichwa kama jamaa alivyonipiga fiksi. Tukielewa madhumuni au lengo la muanzisha hoja itatusaidia kuwa katika mstari tunapochangia.
 
Wakati wa vita ya maneno hapo juzi kati kulikuwa ''heavy traffic'' ya habari kutoka Tanzania kwenda serikali ya Malawi.....hawa jamaa vichwa sana wamepandikiza intelligence yao kwenye vyombo vetu sawa na watusi walivyofanya. Vyombo vya sheria pia kumejaa kibao hasa majaji
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom