Mbona ni wazee tu wenye chale, kwani hakuna vijana wenye chale?
Kwa mujibu wa habari za mapokeo, inasemekana kwamba Wamakonde walikuwa wanajichanja chale ili wafanyabiashara ya utumwa waliokuwa wanakamata watu Afrika mashariki ili kuwauza kama watumwa Uarabuni wasiwatake kama bidhaa katika biashara hiyo.Pole pole chale hizi zikawa utamaduni.
Mbona ni wazee tu wenye chale, kwani hakuna vijana wenye chale?
weweee kiana gani atakubali achorwe kama ramani......kudadadeki ngoja azeekezeeke kidogo...Mbona ni wazee tu wenye chale, kwani hakuna vijana wenye chale?