Wama

KANAN

Senior Member
Aug 20, 2011
124
39
baada ya sikuku, naaomba tuendelee na jitihada za ukombozi.
ingawa ni mara chache sana huwa napost topic but, kila siku lazima nipite na kuona nchi inaendaje kwani jf ni zaidi ya chombo chochote chahabari tanzania.hivyo nawapongeza wote wanaochangia humu ndani uwe unatoka CDM au CCM au hun chama as long as mchango wako ni wakujenga unastahili pongezi

Naomba kujuzwa kirefu cha WAMA na majukumu yake ni yapi?, nimepata tatizo kidogo maana hapo mwanzo nilidhan kirefu chake ni wanawake na maendeleo lakini jion ya leo nilikuwa naangalia KURASA EATV nimemwona mtu anajitambulisha kama katibu mtendaji wa WAMA but ni mwanaume...sina maana ya kusema wanaume wasiajiliwe kwenye taasisi za wanawake ila unyeti wa taasisi hii unanifanya niamini mwanamke angefaa zaidi....naombeni mnifungue kama sin auelewa mzuri katika hili.
 
Back
Top Bottom